PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKIWA NDANI ZAENDELEEA SAMBAA


Utata umeendelea kuibuka kuhusu picha zinazosadikiwa ni za hivi karibuni zikimwonesha Wema Sepetu na Nasib Abdul "Diamond Platnumz" katika nyakati tofauti kwenye nchi moja huko Asia wakiwa kimahaba CHUMBANI

Picha hizi zimehusishwa na usaliti wa Diamond kwa mpenziwe wa sasa aitwaye Penny, na gazeti moja la udaku lilichapisha habari kuwa wawili hao hawapo katika hali nzuri baada ya Diamond kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Wema.


Wakati Wema akiripotiwa kuwa alikuwa China kwa ajili ya sherehe za kumbukumbu ya sikukuu yake ya kuzaliwa, Diamond aliripotiwa kipindi hicho hicho akiwa Malaysia kwa ajili ya shughuli zake za kutumbuiza na burudani.

Baada ya picha hizi kuvuja,Diamond amefunguka na kujitetea kuwa eti walikuwa wana shoot movie yao mpya, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha ili tuupate ukweli.
Angalia picha ya juu hair style ya Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
Angalia tena picha ya juu hair style ya Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja
Angalia picha ya chini na ya juu, chini enzi za zamani.Kipindi hicho walikuwa na hair style hizo lakini hizo za juu zinaonekana kuwa ni muonekano wa sasa

Comments

Popular posts from this blog