Picha tano za dada yetu UFOO SARO baada ya kunusurika kuuawa na Mpenzi wake



Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.

Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro, baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.

Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.

Comments

Popular posts from this blog