MTOTO WA MIAKA 14 AJIFUNGUA MAPACHA HUKO MOSHI

Mtoto huyo aliyefahamika kama Xiao Feng alijifungua kwa njia ya upasuaji katika hospitali moja mjini Xuaxi nchini China.
Kwa mujibu wa taarifa, madaktari waligundua kuwa mtoto Xiao alikuwa na mimba baada ya kupelekwa na mama yake.

Awali mzazi wake huyo aligundua kuwa tumbo la binti yake lilikuwa kubwa isivyo kawaida hivyo alimpekeka hospitali kujua kulikoni.
Nao matabibu hao wakafanya kazi yao ya kumpiga picha za mionzi ya jua ‘x-rays’ na kubaini mtoto huyo alikuwa amebeba mwenzake tumboni.
Walimfanyia upasuaji ambao ulimalizika kwa mtoto huyo kuzaa watoto pacha
Comments
Post a Comment