PHARS NYANDA BLOGGER ATOA MSAADA WA VITABU KATIKA SHULE VIZIWI DONGOBESH...
Phars akikabidhi msaada wa vitabu hivyo mbele ya Mwalimu katikati na Mwalimu Mallya kwa niaba ya Walimu wengine.
phars blogger akiwa anaandika jambo katika vitabu vya kumbukumbu.
TUPE MAONI YAKO NA USISAHAU KULIKE UKURASAWETU WA FACEBOOK
Ikiwa ni Wiki ya maadhimisho ya VIZIWI Tanzania .Phars Msirikale kupitia Phars blog imeamua kutembelea shule ya Msingi DONGOBESH VIZIWI iliyoko Mkoani Manyara Wilaya ya Mbulu na kutoa msaada wa Vitabu vya Kiada na Ziada vipatavyo 147 vyenye thamani Tsh. 876,000/= kama msaada kwa watotot hao.
Phars blog inapenda kutoa wito kwa wadau mbalimbali kujitokeza kwasaidia watoto hao kwani wanayo mahitaji mbalimbali dhidi yao yanayowakabili.
The blogger akiwa na wanafunzi wakionesha vitabu ambavyo wamepelekewa kama msaada kwao
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Dongobesh Viziwi akiwa na wanafunzi wake mara baada yakupokea msaada wa vitabu
Wanafunzi wakishangilia mara baada ya kutangaziwa kuna mgeni kafika nakuwaletea zawadi ya vitabu kama wanavyoonekana hapo.
Mwalimu Rose akiwa na Mwalimu mwenzake nae akiwa na wanafunzi wake wakiangalia aina ya vitabu walivyopewa kama msaada kutoka phars blog.
mwalimu akiwa anatafasri jambo kwa wanafunzi
Wanafunzi wa shule ya Dongoobesh Viziwi wakiwa wanasikiliza jambo toka kwa Walimu
Mwalimu Rose akiongea kwa alama mbele ya Wanafunzi hao
Picha ya pamoja na Walimu kama wanavyoonekana
huyu ni Mwalimu wa michezo katika shule ya dongobesh viziwi kwa upande wa mpira wa petephars blogger akiwa anaandika jambo katika vitabu vya kumbukumbu.
TUPE MAONI YAKO NA USISAHAU KULIKE UKURASAWETU WA FACEBOOK
Comments
Post a Comment