MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI.


Ukatili dhidi ya wanawake  umeendelea  kushika  kasi  ya  ajabu katika  bara  la  Afrika.....

Ukatili  huo  unajidhirisha  baada ya  ongezeko  kubwa  la  matukio  ya  ubakaji  yanayoambatana  na  mauaji  ya  kikatili  kama  njia  mojawapo  ya  kuficha  ushahidi.

Wiki  hii  mitandao  ya  nchini  Ghana  imeripoti  juu  la  tukio  la  mwanamke  mmoja  aliyebakwa  na  kuuawa  kikatili  kwa  kuchomwa  kisu  tumboni  na  sehemu  za  siri...

<<  PICHA  YA   MWANAMKE  HUYO>>

Picha  ya  tukio  hilo  ni mbaya.BOFYA  HAPO  JUU  KUIONA  PICHA...

Comments

Popular posts from this blog