Skip to main content

Mbwa waliotumika kumlinda Prince William jeshini wauawa


article-2424123-1BE2F846000005DC-239_636x375
-Kwa sababu ya kushidwa kupangiwa majukumu mapya au kupelekwa nyumbani kwa mwana mfalme 
Mbwa wawili walinzi wa Prince William wa Uingereza wameharibiwa na kuondolewa katika viwanja vya kifalme vya ndege za kivita wakati Prince huyo ambaye alikuwa akifanya kazi ya kijeshi ya anga baada ya kushidwa kupangiwa kazi zingine mbwa hao waliteketezwa siku chache kabla ya mwana wa mfalme kuondoka.
Prince William ambaye amepata mtoto hivi karibuni alikuwa katika majukumu yake ya kijeshi na mazoezi ya utafutaji na uokoaji katika eneo la kijeshi la North Wales wiki iliyopita.

Shows: Belgian Shepherd Brus. TWO military dogs used to protect Prince William at his RAF base were put down days after he left. Belgian Shepherd Brus and a German Shepherd named Blade were part of a unit which guarded Wills, 31, at RAF Valley in North Wales. Source: http://www.raf.mod.uk/gallery/RAFP2010AnnualDog%20Trials.cfm?start=13&viewmedia=17#pageContent
Ndani ya siku moja baada ya kuhama, walinzi wake mbwa wawili waliharibiwa kabisa siku ya Ijumaa wiki iliyopita.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi Uingereza amesema mbwa hao aina ya shepherd Brus toka Ubelgiji na Ujerumani walikuwa wameezeka na hawakuweza kupangiwa majukumu mengine.

Comments

Popular posts from this blog