KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SHINYANGA NA KUANZA RASMI ZIARA YAKE


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga leo asubuhi tayari kwa kuanza ziara yake ya siku nne mkoani humo katika kuimarisha chama na kuhamasisha wananchi katika kushiriki kwenye shughuli za maendeleo
2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji mdogo wa Isaka
5hViongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama wakati alipowasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama leo asubuhi.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Khadija Kusaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ezekiel Maige mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama katika mkoa wa Shinyanga15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kipaza sauti Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakati wakiongea na wananchi katika mji wa Isaka, katikati ni Khameja Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga14Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo.13Khameja Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga akizungumza na wananchi wakati wa mapokezi hayo kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kulia niKatibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye .12Waananchi wakinyanyua mikono juu wakishangilia wakati Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye hayupo pichani akiongea.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-ISAKA

Comments

Popular posts from this blog