WAZIRI MWAKYEMBE ATUA AIRPORT DSM GHAFLA KUSAKA WAUZA UNGA
- Get link
- X
- Other Apps
Naye
mkurugenzi wa uwanja huo Bw Moses Malaki amesema uwanja unakidhia
matakwa ya kiusalama wa kimataifa ila jambo kubwa ni uwepo wa watau
wachachae ambo wanafanya kazi kinyume na mfumo huo.
Akihitimisha
ziara hiyo Mh Mwakyembe amesema amebaini mambo mengi ikiwemo kuwa
katika uwanja huo kuna taasisi nyingi za kiusalama ambazo zinafanya kazi
hivyo na kusema kuwa hakuna sababu yeye wala watumishi wengine wa
uwanjani huo kuendelea kufanya kazi uwanjani hapo.
Hivi
karibuni uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere wa jijini Dar-es-Salaam, uligubikwa na wingu la kukamatwa kwa
kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya yaliyo kamatwa nchini Afrika ya
kusini yakihusishwa na vijana kutoka Tanzania, jambo lililopelekea
Watanzania kukaguliwa ki ziada katika mataifa ya nje ikiwemo Afrika ya
kusini hivyo kuchafua jina la Tanzania katika medani ya kimataifa
Chanzo:ITV
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment