WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MANYARA
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mbolea wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Mbolea cha Minjingu kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachama wa kikundi cha ushonaji Ufukuba katika banda la kikundi hicho kabla ya kufngua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini babati Agosti 22, 1013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

Comments
Post a Comment