RAIS KIKWETE ASALI IDD KINONDONI LEO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingia katika msikiti wa Kinondoni Muslim tayari kuhudhuria swala ya Iddi leo asubuhi,jijini Dar es Salaam
--Baadhi ya waumini ya dini ya kiisalmu wakiswali swala ya Iddi katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam leo jioni(picha na Freddy Maro)


Comments

Popular posts from this blog