"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU



Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo.

Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..
 Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa...

Cha  kufurahisha  zaidi  ni  kwamba, jamaa  katangaza  kusaka  mchumba  wa  jinsia  yoyote..

Kama  upo  tayari, basi  funguka  kabla  hujawahiwa  na  wenzako. 

Comments

Popular posts from this blog