Miss utalii aliyepiga picha za uchi na Manaiki apewa kichapo cha mbwa mwitu
Zile picha za aibu zilizoongoza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabint mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa zimechukuwa sura mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya kumdhalilisha.
Habari za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha picha hizi za kupigwa kwa Fathiya amedai kuwa mrembo wa faceboook yuko taabani baada ya kupewa kichapo cha mbwa mwitu...
“ Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake ni mbaya sana...Yaani amepigwa sana nusura atolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko Buza” Kilisema chanzo hicho...
Katika tukio hilo , mtuhumiwa namba moja na Manaiki Sanga aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa na Love Position...
Inadaiwa Manaiki kwa sasa anaishi kama digidigi kwa kuhofia kutiwa mikononi na Jamhuri kwa tukio alilolifanya la kuwadhalilisha wanawake...
Comments
Post a Comment