HATIMAYE "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL YARUHUSIWA BAADA YA KUZUIWA
Bodi ya ukaguzi wa filamu Tanzania imeridhia na kuiruhusu filamu ya Foolish Age ya Lulu Michael iingie sokoni baada ya kuizuia hapo ijumaa....
Filam hiyo ilizuiliwa kutokana na mavazi ya nusu uchi yaliyokuwa yamevaliwa na washiriki wake na kumtaka Lulu Michael aifanyie marekebisho kwa kuviondoa vipande hivyo ambavyo vilikuwa kinyume na maadili ya kitanzani....
Filamu hiyo ambayo yupo Lulu, Diana Kimaro, Jengua na Hashim Kambi itazinduliwa tarehe 30 mwezi huu katika ukumbi wa Mlimani City
Kupitia account yake ya instagram, Lulu amepost ujumbe huu.
Comments
Post a Comment