Edward Lowassa asherekea kutimiza Miaka 60!

004 a7444
HONGERA SANA MHESHIMIWA LOWASSA.


Picture 345 28537
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro(katikati) akisisitiza jambo leo juu ya maoni ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuhusu rasimu ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari –MAELEZO jijini Dares Salaam na kushoto wa kwanza ni Mkurugenzi wa Idara ya hiyo, Assah Mwambene
ajali_cd5ff.jpg
Watu kumi na tatu (13) wamefariki na wengine kumi na moja(11) kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Ngongwa mkoani Shinyanga. Ajali hiyo iliyohusisha gari aina ya Hice yenye namba za usajili T 756 CHX na gari jingine lilokuwa limeharibika T 696 AMS.

Comments

Popular posts from this blog