ANGALIA PICHA YA KITU KILICHOTISHIA USALAMA WA KANISA KIJITONYAMA HIKI HAPA





Kinachoninginia kwa hiyo transfoma inasadikiwa ni bomu..
BreakingNews
 Hofu kubwa imewapata waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Kijitonyama, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kurushwa kanisa hapo. Polisi wafika kanisa hapo na kuondoka na kitu hicho.

HABARI HII NI TOFAUTI NA ILE YA JAMA

ITVHofu kubwa imewapata waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Kijitonyama, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kurushwa kanisa hapo.
Polisi wafika kanisa hapo na kuondoka na kitu hicho.

Comments

Popular posts from this blog