WIMBO WA LADY JAY DEE YAHAYA WAANZA KUFANYIWA SHOOTING


Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa Jana jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya .: 

Comments

Popular posts from this blog