WAZIRI WA UJENZI Dr. MAGUFULI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU SOMANGA(60)


1-mhandisi mkazi(kulia)Dejene na Magufuli
Waziri wa Ujenzi Dr.John Magufuli (kushoto) akisikiliza maelezo ya ujenzi wa barabara kutoka  Ndundu-Somanga (km 60) mkoani Pwani jana kutoka kwa Mhandisi  Mkazi kutoka kampuni ya ESG (Mouchel Parkman )alipotembelea kuangalia maendeleo ya ujenzi huo ambapo hadi sasa wameshalipwa  kiasi cha shilingi 59 bilioni..2- mitaro ikiendelea kujengwa3-mitaro 
5- lami katika kijiji cha Malendego 6-- uwekaji wa lami ukiendelea
Baadhi ya shughuli za ujenzi mbalimbali za barabara zikiendelea.
-7- wazii (kushoto) akiongea na wanakijiji wa Malandego 
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akiongea na baadhi ya wanakijiji wa Malendego jana wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa mradi ya barabara ya Ndundu- Somanga(km 60).
8- wanakijiji wa Malendego wakimsikiliza Mh. Magufuli
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Malendego mkoani Pwani wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli  (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi(15,7,2012).9-bango la mpangilio wa  ujenzi
Bango la mpangilio wa ujenzi.10- Magufuli (kati)(kulia) RC DSM Sadick(L) Mrango

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(mwenye pama katikati)   akitoa maagizo kwa meneja wa mradi wa ujenzi pamoja na Mhandisi mkazi wa mradi huo hawapo pichani  jana alipotembelea mradi huo jana,ambapo Waziri Magufuli mna  mwenedo wa kususua wa ujenzi huo. (kushoto) Ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Herbet Mrango.(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dsm Mecky Sadick.

Comments

Popular posts from this blog