SINTAH : “WATANZANIA HAWAPENDI KUAMBIWA UKWELI”

Mwigizaji maarufu kwenye bongo movie Christine Manongi a.k.a Sintah amefunguka na kusema kwamba “watanzania hawapendi kuambiwa ukweli”.
Sintah aliendelea kwa kusema kwamba “vijana wengi wa sasa wanapenda kuishi maisha ya kuigiza na kupelekea kupoteza muda mwingi kwenye mambo yasiyo na msingi.”

Hivi karibuni Sintah alipinga kauli ya mwigizaji na mwanamuziki Shilole kutaka kufanya kazi na Jenifer Lopez ambao ilipelekea wasanii hao wawili kuangia katika beef.

Comments

Popular posts from this blog