RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA




IMG_0286Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akikata utepe akisaidiwa na  Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
c1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
NA FULLSHANGWE

IMG_0024Wananchi waliojitokeza kwa wingi katika ufunguzi huo wakiondoka baada ya uzinduzi huoc3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
c5Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
c6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa mahakama nchini mara  baada ya kufungua  rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
c7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondioka baada ya kufungua  rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013

Comments

Popular posts from this blog