PICHA ZA WATAALAM WA IT WALIOKUWA WAKIFANYA PROJECT KWA SIKU MBILI KATIKA CHUO KIKUU ZA USHIRIKA.(MUCCOBS)

 Hawa ni watalaam wa social network, toka kulia ni Lema, Taikun na Godjifty.

 mtaalamu Phars akiwapongeza vijana kwa kukuamilisha kazi yao, ni Jackiline na Steve
 Nemesi akiwa ameshikilia kitabu chake cha project na cd kabla yakukabidhi
 Mr. Gurisha akiendelea kufuatilia shughuli nzima ikiendelea na akiwa anatafakari kwa kile alichokiwasilisha

 Kijana Nicholus aikwa amepumzika mara baada ya kuwasilisha project yake
k
 Toka kushoto ni Edgar, Raphel na Haji wakifutilia kwa makini shughuli nzima
 tukiwa katiaka hali ya umakini zaidi pale watu walipokuwa wakiwasilisha kazi zao
 Bi. LEMA na DK. MWENDE WAKIWA WANA BADILISHANA MAWAZO KWA KAZI NZIMA, Ambapo bi Lema alipongeza kwa kazi zote na pia kuwapa moyo wasiishie hapo kwani anataka kuona wakina Bill Gate wengine toka ushirika

 Huyu ndie programmer na Coordinator wa IT akiajribu kurudishia mizigo yake mara baada ya kazi kukamilika

 Lucas akiwa na Eliza katika pozi la pamoja mara baada ya presentation



 mtaalamu wa MUCONET bwana LUCAS mjema akiwa anawasilisha project aliyoindaa


 Mr. KUNDAJE akiwasilisha project project akiwa anasikilizwa kwa umakini na abisina kama anavyoonekana
 Sir. Phars akiwa anawasilisha kile alichokiaandaa juu ya project iitwayo TICKET THEATRE RESERVATION SYSTEM



JIUNGE NASI KWA KUBONYEZA LIKE UKURASA WA FACEBOOK
Poste by Phars Nyanda

Comments

Popular posts from this blog