MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE AMWAGIWA TINDIKALI


Taarifa za awali zinadai kwamba Mfanyabiashara Said Mohamed Saad ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping Centre (Dar), amwagiwa tindikali  saa mbili  ya usiku  huu maeneo ya Msasani City Mall ....

Taarifa  hizo  zinadai  kwamba  mtuhumiwa  aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio

 LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK ILI KUPATA HABARI MOTOMOTO

Comments

Popular posts from this blog