MATESO YA KIJANA MWIZI AKISULUBIWA NA WANAKIJIJI BAADA YA KUVUNJA DIRISHA LA NYUMBA ILI AIBE


Huyu  ni  mwizi  aliyenaswa  na  wanakijiji    nchini  Uganda  akijaribu    kuvunja  dirisha  la  nyumba  ili  aibe....

Wanakijiji  walipomnasa  walianza  kwa  kumpa  kichapo  kikali  kabla  ya  kumfunga  miguu  na  kumburuza  barabarani  huku  wengine  wakiendelea  kumshushia  kichapo

Comments

Popular posts from this blog