HIVI WATANZANIA TUMEKOSA UTU KIASI HICHI?


Watanzania wenzetu wanavua samaki kwa kutumia sumu, wengine wanakaanga chips kwa mafuta ya transformer, kuku wanakuzwa kwa contraceptives (dawa za uzazi wa mpango), kitimoto nao wanapewa ARV's,
samaki wanahifadhiwa kwa formalin (dawa ya kuhifadhia maiti) si hivyo tu, dawa feki kila kona? Vyote hivi in a long run vitawaathiri watanzania wengi! Tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa ya kutajirika haraka haraka! Mimi huu ujinga unanikera sana!!

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA