BRAZIL MABINGWA KOMBE LA MABARA, WAITANDIKA SPAIN 3-0

Hawa ndo wachawi wa soka wakifanya yao pale walipouthirishia ulimwengu kuwa wa ndo mabingwa mara tatu mfululizo



Ndiyo maana soka ni mchezo unaopendwa na watu wengi zaidi duniani kwa kuwa hauna matokeo yanayotabirika na Hispania wanaweza kuwa shahidi wa hilo katika mechi ya fainali ya Kombe la Mabara iliyomalizika punde.

hapa ni gori la kwanza la ufundi likipachikwa na fred


Wenyeji Brazil wametawazwa kuwa mabingwa baada ya kuwafunga mabingwa wa dunia, Hispania kwa mabao 3-0.

Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Maraccana ilikuwa burudani tupu na Brazil walipata bao lao la kwanza katika dakika ya 2 mfungaji akiwa Fred na dakika 44, Neymar akafunga bao la pili kwa shuti kali.



Kipindi cha pili, dakika ya tatu, Fred tena akafunga bao la tatu ambalo lilionyesha kumaliza matumaini ya Hispania ambayo baadaye Sergio Ramos alikosa mkwaju wa penalti.

Baada ya hapo, wenyeji ambao walianza soka kwa kasi tokea kipindi cha kwanza, walionekana kuendelea kuwabana mabingwa hao wa Ulaya na dunia.

Mshambuliaji Neymar amepewa nyota wa mchezo mara tu baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
Hispania waliendelea kujitahidi kupambana hata baada ya beki wake Pique kulambwa kadi nyekundu kutokana na kumkwatua Neymar akiwa anakwenda kumuona Casillas.
Kipigo hicho cha Hispania kimeipanya Brazil kuweka rekodi kuwa timu ya kwanza kufunga bao katika mechi ya fainali dhidi ya mabingwa hao.

Awali ilionekana kuwa Brazil watakuwa na kibarua kigumu lakini mfumo walioutumia ulionekana kuwapa wakati mgumu zaidi mabingwa hao wa dunia.

Ovation: Fred is deservedly applauded off the pitch after a tireless performance
mfungaji wa goli la kwaza akiwashukuru mashabiki wakati akitoka nje
Cheerio: Gerard Pique is sent off for hacking down his future Barcelona team-mate.

Wasted: Spain were gifted a penalty but Sergio Ramos hit it well wide

Game over? Fred celebrates his second and Brazil's third

Key moment: David Luiz clears off the line from a Pedro shot - a goal would have made it 2-1 to Brazil

Thump: Neymar hammers an unstoppable shot beyond Iker Casillas to make it 2-0

Neymar
Neymar
 
Gori la  tatu likipachikwa kiufundi
Lucky boy: Alvaro Arbeloa should have been sent off for his challenge on Neymar - the pair was completely alone on the halfway line when the Real Madrid defender brought him down

Clashes: Police fire tear gas at protesters outside the Maracana

Bundled: Fred scores for the hosts

Early lead: Fred scores after just two minutes following some terrible defending by Spain
Great start: Fred celebrates with Neymar
huyu ndie mhuaji wa hispania

Comments

Popular posts from this blog