ANGALIA PICHA ZA WATU WLIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MSANII IBRAHIMU PAZI MAARUFU POSA
Kushoto ni Marehemu Ibrahim Mohammed Pazi ‘Posa’ akiwa na msanii mwenzake enzi za uhai wake.
MSANII wa komedi nchini, Ibrahim Mohammed Pazi ‘Posa’ ameaga dunia jana katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Pichani juu ni baadhi ya taswira kutoka nyumbani kwa babu wa marehemu eneo la Manzese Tiptop jijini Dar es Salaam ulipo msiba.
(PICHA: HAMIDA HASSAN / GLADNESS MALLYA / GPL
Comments
Post a Comment