MAELFU NA MAELFU YA WATU WAJITOKEZA MPENDWA WETU ALBERT NGWEA.....SALAMU ZA MWISHO ZIMEANZA KUTOLEWA

Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini Tanzania akitoa neno la Shukurani kwa wananchi walifanikisha shughuli nzima

Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

Umati
wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha
msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by.

Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.
Comments
Post a Comment