HATIMAYE THE PLATINUM AULA TENA



Wanasema hela huenda kwa wenye hela na mwenye nacho huongezewa zaidi. Sina uhakika, lakini kwa mujibu wa picha nilizoziona kwenye akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz, inaonekana kama the lad is about get some serious money from wazee wa machapati ‘Azam’.

Katika akaunti hiyo, Diamond ameweka picha kadhaa ambazo zote zinamuonesha akiwa amebeba magunia ya unga wa ngano wa Azam na katika picha moja ameandika, “Guess what???.
Tutegemee surprise siku si nyingi!!

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog