HAIKUWA KAZI RAHISI KUINGIA MOROGORO KUTOKANA NA UMATI WA WATU ULIOFURIKA NJIANIW


Msafara wa kupokea mwili wa msanii  marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo
Wakazi wa Morogoro wakikimbilia gari lililobeba mwili wa marehemu huku wakiimba nyimbo zake

 
 
 MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA KUELEKEA NYUMBANI KWAO MANGWEAR


Comments

Popular posts from this blog