BREAKING NEWS: M 2THE P AWASILI TANZANIA KWA AJILI YA KUMZIKA NGWAIR, SIKILIZA HAPA ALICHOKISEMA AKIWA BONGO
Rafiki wa
wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika
Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro
kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo (June
6).Akizungumza na Times Fm asubuhi hii Mgaza Pende a.k.a M 2 The P
amewashukuru watanzania kwa kumuombea japo hali yake bado haijawa nzuri
sana lakini ameamua kurudi Tanzania kuja kumzika ndugu yake Mangwea.
Comments
Post a Comment