R.I.P ALBERT MANGWEA



Habari  zilizotufikia  ni  kwamba  msanii  Albert Mangwair  amefariki  dunia akiwa  Afrika  kusini

Chanzo  cha  kifo  hicho  bado  hakijafahamika  lakini  taarifa  za  awali  zinadai  kuwa  msanii  huyo  hakuamka  tangu  alipolala .

Kwa habari zaidi tutawajulisha kadri ya uwezo.
 
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE 


Comments

Popular posts from this blog