Posts

KAMANDA MKUU WA BOKO HARAMU{ ABOU MOJAHID} AUAWA KIKATILI,

Image
Askari wa jeshi la Nigeria Msemaji wa jeshi la Nigeria Meja Jenerali Chris Olukolade amesema kuwa, vikosi vya nchi hiyo vimemuua kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Boko Haram Abu Mojahid ambaye ameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Nigeria na wapiganaji wa kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Olukolade ameongeza kuwa, wapiganaji kadhaa wa Boko Haram nao wameuawa katika mapigano hayo. Wakati huo taarifa kutoka Nigeria zinasema kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuukomboa msitu wa Sambisa ambao ulikuwa ngome ya mwisho ya kundi la kigaidi la Boko Haram. Msitu wa Sambisa huko kaskazini mashariki mwa Nigeria. Hayo yanajiri ikiwa Operesheni ya pamoja ya vikosi vya Nigeria, Chad, Cameroon na Niger dhidi ya Boko Haram ikizidi kuendelea huku kukiwa na taarifa kwamba, imekuwa na mafanikio.

HABARI NJEMA KWA WANABLOG, FORUMS WATANZANIANIA JUU UANDIKISHAJI WANACHAMA TBN

Image
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi. Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga fomu hizo zinapatikana kwenye Ofisi za Muda za Tanzania Bloggers Network (TBN) kwenye Jengo la Dar Free Market lililopo mkabala na Barabara ya Ally Hassan Mwinyi. Mwanachama muitaji wa kujiunga kabla ya fomu atatakiwa kutoa shs 25,000/- ikiwa ni Kiingilio cha mwanachama, shs 15,000/- yakiwa ni malipo ya ada ya miezi mitatu kwa mwanachama na shs 10,000/- ikiwa ni malipo ya kadi ya TBN kwa mwanachama (utambulisho). Jumla kuu kila mwanachama anatakiwa kulipa shs 50,0...

WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI

Image
Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao ambao ni Mwenyekiti, Mumo Matemu na naibu wake Bi. Irene Keino wamesimamishwa huku uchungunzi ukianzishwa dhidi yao kuhusiana na tuhuma za uzembe wa kazi na kutumia vibaya madaraka yao ikiwemo kujihusisha na ufisadi. Tangazo hilo limetolewa mwezi mmoja baada ya ripoti kutoka ya tume hiyo kuwasilishwa kwa Rais Kenyatta, ripoti iliyosababisha kusimamishwa kazi kwa Mawaziri wanne wa serikali ya Uhuru Kenyatta na Maafisa wengine 12 na Wakuu serikalini ili kupisha uchunguzi ufanyike dhidi yao

KIJANA AMCHINJA MAMA YAKE MZAZI NA KUTOA TAARIFA UONGOZI WA KIJIJI!!-SINGIDA,SHUHUDIA HAPA

Image
Jeshi la Polisi mkoani Singida, linamshikilia Jumanne Yusuph (33), Mkazi wa Kijiji cha Mtamaa ‘A’ Manispaa ya Singida kwa kumuua mama yake mzazi, Tausi Abdalah (56) kwa kumchinja na kisu shingoni, juzi alfajiri katika kijiji hicho. Baada ya kumchinja mama yake, kijana huyu alikwenda kwa mama yake mkubwa kutoa tarifa, kisha tena akaenda kwa mwenyekiti wa kijiji kumjulisha kuwa amefanya mauaji ya mama yake. Kabla ya mauaji hayo, mtuhumiwa huyo aliwaua ng’ombe watatu wa mama yake kwa kuwacharanga na mapanga. Pia inadaiwa kuwa aprili 16 mwaka huu, mtuhumiwa huyo alifika kwa mama yake na kubomoa sehemu ya nyumba yake kisha akatokomea kusikojulikana.Kabwe Zuberi Zitto (born 24 September 1976), popularly known as Zitto Kabwe, is a Tanzanian politician.He was a member of the opposition party, Chadema, from 1992 until his expulsion in March 2015. He served as a Member of Parliament for the Kigoma North constituency from 2005 to 2015.On 20 March 2015, he officially joined the Al...

The Best Yoga Poses for Pregnant Women

Image
Who said that pregnant women should forget about exercising? It is actually a myth! Instead, prenatal yoga can help you cope with all those body changes you must experience during pregnancy. It is a perfect way to find a balance between mind and body. No other technique can help women to stay fit and healthy and keep their mind calm and relaxed as much as yoga does. That does not mean that all yoga poses are good for you, some of them may actually hurt you, or your baby. That’s why you should be very attentive when working out during pregnancy, even when it comes to yoga. Just remember you should feel comfortable and not experience pain! Don’t forget to consult your doctor before exercising. So, we’ve gathered the safest yoga poses for those who are expecting. 1. The Easy Pose This pose is the best way to start a session. It helps...

Mfanyabiashara Afia Hotelini na Kete 30 za Heroin

Image
Mfanyabiashara wa dawa za kulevya, Kervin Mafita (40),mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, amekutwa amekufa kwenye Hoteli  iliyopo jijini Arusha akiwa na shehena ya dawa hizo aina ya heroin tumboni mwake.   Meneja wa hoteli hiyo, Bw. Douglas Minja, alisema marehemu alifika hotelini hapo Aprili 12, mwaka huu, akiwa ameongozana na mama yake mzazi, mdogo wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka 11 na kukodi vyumba viwili.   Alisema Aprili 15, mwaka huu, saa nne asubuhi, mhudumu wa hoteli alienda kugonga chumbani kwa marehemu ili aweze kufanya usafi na baada ya kufunguliwa mlango, ndani kulikuwa na marehemu, mama yake na mgodo wake marehemu.   Aliongeza kuwa, ndugu hao walidai muda huo walikuwa na mazungumzo hivyo hawakutaka usumbufu ambapo kutokana na majibu hayo, muhudumu huyo alilazimika kuwapisha ili waendelee na mazungumzo yao.   "Baada ya saa moja, ndugu wawili (mama na mdogo wa marehemu), walitoka na kutokomea kusikojul...

CHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Image
Mh. Augustine Mrema Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), imempendekeza Augustine Mrema ambae pia ni mwenyekiti wa chama hicho kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo. Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Nancy Mrikaria, akiongea jana na gazeti la mwananchi alisema kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Alisema kamati imeridhia Mrema kuendelea kugombea ubunge katika jimbo la Vunjo ikiwa na imani kuwa ana nafasi kubwa ya kushinda, ikilinganishwa na wengine waliotangaza nia ya kupambana nao. “Kamati imefikia hatua hiyo kwa kutambua uwezo alionao mwenyekiti katika kukiendeleza chama, pia hadi sasa hakuna mwanachama mwingine aliyejitokeza kugombea nafasi hiyo na tulianza kutoa fomu tangu Aprili 9 hadi 17, wakati kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti Bara ndiyo kuna ushindani wa watu wawili wanaoigombea,” aliliambia gazet...

MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA

Image
Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star. Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo.… Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star. Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo. Mayunga (katikati) akiwa na wadau mbalimbali akiwa ameshikilia tuzo yake. Mayunga akiimba. Watanzania wakishangilia baada ya Mayunga kuibuka mshindi. MTANZANIA Nalimi Mayunga ameshinda mkataba wa kurekodi muziki na Label ya Universal Music wenye thamani ya dola 500,000 ambayo ni shilingi milioni 900 kwenye Shindano la Africa Airtel Trace Star lililofanyika nchini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita. Mayunga aliwashinda wasanii wengi kutoka nchi mbali...

MAJAMBAZI WAUWA WAWILI NA KUPORA PESA ZA KAMPUNI YA BONITE MOSHI

Image
Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi. Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. ...wakiwa kwenye gari baada ya kushambuliwa kwa risasi na… Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi. Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. ...wakiwa kwenye gari baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. Mlinzi baada ya kuuawa na majambazi. MAJAMBAZI yaliyokuwa na silaha yamevamia gari mali ya Kampuni ya Bonite na kuwamiminia risasi dereva wa gari hilo aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu na mlinzi wa Kampuni hiyo aliyetambulika kwa jina la Shamba kisha kupora fedha na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea jana mjini Moshi ambapo majambazi wanne waliokuwa kwenye pikipi...
Image
Mohammed Mosri. Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.

TAARIFA ZAIDI TUKUO LA KUKAMATWA KWA MAGAIDI MOROGORO

Image
Polisi wakimjulia hali mwenzao aliyekatwa na sime shingoni. HII ndiyo A-Z ya wale watu tisa wanaoshikiliwa na polisi jijini Dar baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Mmoja kati ya watu hao (wa kumi), Hamad Makweka aliuawa. Watu hao walikamatwa Aprili 14, mwaka huu saa 3:30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero, Morogoro wakiwa na silaha hizo ambapo ilidaiwa kuwa, walikuwa wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu wa ‘kigaidi’ mahali. Ilidaiwa watu hao walilala kwenye Msikiti wa Answar Sunna uliopo Kidatu ambao unamilikiwa na Islamic Foundation. Baada ya kukamatwa, awali walishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi, Morogoro na baadaye kupelekwa jijini Dar kwa siri ambako mahojiano makali yanaendelea. Habari kutoka ndani ya jeshi hilo zinasema kuwa, watu hao wanahojiwa ili kujua ukubwa wa mtandao wao, walikuwa wakafanye tukio wapi...

UNYAMA WA KUTISHA DAR: WATOTO WACHOMWA MOTO HADI KUFA, KISA HAWARA WA BABA!

Image
Marehemu Jumanne Omar enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama lilitokea wiki iliyopita Gongo la Mboto, Dar ambapo kijana aliyefahamika kwa jina la Hassan ambaye ndiye mkazi wa huko alidaiwa kuwafuata marehemu hao Mtoni Madafu na kuwaambia ametumwa na mama yake mzazi aende akafanye vurugu kwa hawara ‘mchepuko’ wa baba yake. INASIKITISHA sana! Vijana wawili, Jumanne Omar (17) na Mgeni Rashidi Rajabu (16) (aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Keko), Dar, wakazi wa Mtoni Madafu, Temeke wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kudhaniwa kuwa ni wezi. Inadaiwa kuwa, Hassan akiwa na vijana wengine wawili, aliongozana na vijana hao kwenda Gongo la Mboto kwa mwanamke huyo ambaye ni mama lishe.Ndugu mmoja wa Jumanne anasimulia: “Walipofika kwa mama lishe huyo ambaye Hassan alidai ndiye mchepuko wa baba yake, waliagiza chakula. Walipomaliza kula yule mama aliwadai pesa, Hassan akasema hawana na hawatoi. “Tunasikia yule mama ...

HAKIMU AFIA MAHAKAMANI KIUTATA JIJINI DAR

Image
Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake.  Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo na wale waliokuwa na kesi, lilijiri Aprili 13, mwaka huu mahakamani hapo wakati makarani wakiandaa mafaili ya kesi mbalimbali. HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! KUMBE ALIKUWA ANARIPOTI KITUO KIPYA CHA KAZI Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari mahakamani hapo, Mheshimiwa Alphonce siku hiyo ndiyo alikuwa akiripoti mahakamani hapo kikazi akitokea Mahakama ya Mwanzo Lugoba, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ndipo akapatwa na matatizo hayo ambapo wengi walidai kifo chake kilitokana na ushirikina. “Huyu hakimu si mgeni kwangu, namjua kwa utendaji wake wa kazi na ni mtenda haki katika hukumu anazozitoa, amekuwa akifuata she...

RAY C NAYE ATESWA NA UGUMBA

Image
Nyota wa muziki Rehema Chalamila, Ray C.   WAKATI staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu akiweka wazi kuwa hawezi kupata ujauzito huku Judith Wambura ‘Jide’ naye akisumbuliwa na tatizo hilo, nyota wa muziki Rehema Chalamila, Ray C amefunguka na kusema kuwa hali ya kukosa mtoto ambayo ni sawa na ugumba, inamtesa, kwani katika umri wake wa miaka 33, hajabahatika kuwa naye. Akizungumza juzikati, Ray C alisema kuwa pamoja na hamu yake ya muda mrefu ya kupata mtoto, lakini ameshindwa ingawa anaamini siku yoyote Mungu atamuwezesha jambo hilo.“Hao kina Jide, Wema mi naona kama ni cha mtoto. Katika uhusiano wangu wa kimapenzi tangu nivunje ungo, nimewahi kushika mimba mara moja tu, wakati huo nikiwa na Mwisho Mwampamba, lakini bahati mbaya ilitoka, tokea hapo sijapata tena,” alisema staa huyo ambaye yupo katika mapambano ya kuacha matumizi ya madawa ya kulevya. Alisema katika umri wake huo anatamani sana kuwa na mtoto, kwani wasichana aliozaliwa nao wakati mmoja hivi sasa wan...

Online Dating: Is it just for losers?

Image
Online dating used to be this scary and shameful thing when it just started.You know, back in the day, when people thought that internet is for porn and creepy perverts only. People used to have this weird idea that only creeps and losers would stoop so low as to try and find love on the internet. Thank god it’s all in the past and everyone knows that internet is awesome and serves many purposes. The truth is, nowadays you spend most of your day on the internet. We’re all constantly on Twitter, Facebook, Instagram, Pinterest, Youtube. That’s how we make friends. That’s how we work, shop, watch movies. So why not find love the same way? And yet, the last few, lets call them “oldfashioned” people who still don’t believe in online dating and think it’s a horrid idea. Well, let’s see how it really is and shun those ideas once and for all. First and foremost it’s important to state that 1 in 5 relationships starts online these days. Be it specific online dating services, or...