Posts

Showing posts from April 3, 2014

KUSAIDIA JAMII KWAMPA CHETI CHA HESHIMA MAMA KIKWETE

Image
Na Anna Nkinda – Brussels, Ubelgiji  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amepewa cheti na Umoja wa wake wa Mabalozi  wa Afrika waishio katika  nchi za Jumuia ya  Ulaya kwa kutambua na kuthamini mchango wake na kazi anazozifanya za kuwasaidia wanawake, wasichana  na watoto wa Tanzania.  Cheti hicho amekabidhiwa jana katika hafla fupi  ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na wake hao wa mabalozi katika ukumbi wa mikutano uliopo Hoteli ya Sheraton mjini Brussels. Mama Kikwete ni mmoja kati ya wake wa Marais wa tano wa  Afrika waliokabidhiwa vyeti hivyo vya heshima kutokana na kazi zao wanazozifanya za kuisaidia jamii na kuhakikisha kuwa inapata mahitaji ya muhimu kama huduma ya afya na elimu. Akiongea kabla ya kuwakabidhi wake hao wa marais vyeti hivyo Mke wa Balozi wa Equatorial  Guinea  ambaye pia ni rais wa umoja huo Mama Mangue de Nvono Nca alisema nia ya kuanzishwa kwa umoja wao ni kulitambulisha bara la Afrika ambalo linajulikana  kuwa na  changamoto za nja

ANGALIA PICHA MTOTO AZALIWA MOYO UKIWA NJE

Image

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA CHUO KIKUU ARDHI TANZANIA

Image
SENIOR ADMINISTRATIVE OFFICER II From the Guardian of 1st April Ardhi University has vacant positions in the Academic and Administrative cadre. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are interested to work in a thriving University environment and have the requisite skills, qualifications and experience for various positions as indicated below: Senior Administrative Officer II Qualification & Experience: Holder of Masters Degree in the relevant fielt1 with working experience of at least three years in a similar position plus ICT skills. Duties: (i) Administers Regulations and Conditions of Service. (ii) ii) Prepares staff training and Development programs. (iii) Deals with Human Resources planning, allocation and control. (iv) (iv) Processes staff recruitment. (v) (v) Deals with promotion and remuneration schemes. (vi) Deals with pension and terminal be

ANGALIA PICHA KIJANA AUAWA KWA KUPIGWA MAWE NA KUCHOMWA MOTO,MWINGINE ANUSURIKA KUFA,

Image
Kulia ni mwili wa marehemu baada ya kuchomwa moto-kushoto ni Machela  ikiandaliwa  kuupakia  mwili wa kijana aliyeuawa kwa kuchomwa moto   Kijana  aliyejulikana kwa jina la Mangi  akiwa  ndani  ya  gari, pembeni  yake  ni  maiti  ya  mwenzake Polisi  wakikagua  makoti  ambayo  kijana  aliyenusurika  alikuwa  ameyavaa Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni jambazi ambaye hakufahamika jina anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 25 ameuwawa kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na mwingine kunusurika kuuwawa. Tukio hilo limetokea jana  alfajiri  katika kijiji cha Shibula kata ya Bugongwa wilayani Ilemela Mkoani Mwanza kufuatia tukio la wizi lilotokea usiku wa kuamkia jana katika mtaa  wa  Nyamwilolelwa ambapo pikipiki moja na paneli ya solar ziliibiwa.    Katibu wa Sungusungu katika kijiji cha Shibula John Mashalia amesema kuwa kufuatia tukio hilo waliamua kuweka ulinzi shirikishi kuzunguka vijiji vyote na ndipo walipokutana na kijana huyo aliyeuwaw

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI 482 KUTOKA SERIKALINI

Image
1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8  ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo: MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE. i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania. ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa. iii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wa