Posts

Showing posts from February 23, 2014

ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI.

Image
 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund  Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea  Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

MKE WA SUGU NI SHIDAAAAA ... AANIKA KIUNO CHAKE KWA PUBLIC LIVE!!

Image