Posts

Showing posts from October 12, 2016

Manji Ajitoa Yanga Rasmi

Image
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWENYEKITI  wa Yanga, Yusuf Manji, amesitisha kuendelea na zoezi la kuikodisha timu na nembo ya klabu hiyo na kuwaambia wasaidizi wake, wasitishe mipango yote ya maendeleo waliyokuwa wameanza kuifanya. Manji amewaambia wasaidizi wake kusitisha maandalizi ya Ligi ya Vijana ya Matawi ya Yanga, lakini amewaambia waandae siku rasmi ambayo atazungumza na vyombo vya habari na kuwaomba radhi Wanayanga ambao wamemuunga mkono muda wote. Yusuf Manji akiongea na wanahabari. Habari za uhakika ambazo Championi Jumatano limezipata, zinasema Manji alizungumza na wasaidizi wake jana mchana ikiwa ni dakika chache baada ya TFF kufanya mkutano na waandishi wa habari na kusema hawatambui suala la Yanga kuikodisha timu na nembo kwa Kampuni ya Yanga Yetu Ltd, kwa miaka 10. “Leo alionekana ni kama mtu aliyekata tamaa au asiyefurahishwa na jambo. Amewaita wasaidizi wake na wamefanya kikao, hakikuwa kirefu sana. “Amewaambia ameamua ku

Samsung has urged owners of the Galaxy Note 7 to turn off the smartphone while it investigates new reports of the device catching fire.

Image
The South Korean firm also said it would stop all sales of the phone. Samsung recalled 2.5m phones in September after complaints of exploding batteries and later assured customers that all replaced devices were safe. But there are now reports that even those phones that had been replaced were catching fire. A man in Kentucky said he woke up to a bedroom full of smoke from a replaced Note 7, days after a domestic flight in the US was evacuated after a new device started emitting smoke in the cabin. "Because consumers' safety remains our top priority, Samsung will ask all carrier and retail partners globally to stop sales and exchanges of the Galaxy Note 7 while the investigation is taking place," the company said. "Consumers with either an original Galaxy Note 7 or replacement Galaxy Note 7 device should power down and stop using the device and take advantage of the remedies available," it added.

HAFLA YA MAKAMU WA RAIS MAMA SULUHU HASSAN ALIVYOAWEKA JIWE LA MSINGI WODI ZA WAZAZI HOSPITALI ZA RUFAA MKOA WA DAR ES SALAAM

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Pembeni wanaoshuhudia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Makonda. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa maelekezo na wadhamini watakaojenga jengo hilo, Amsons Group. Moja ya Bango la ujenzi wa wod