Posts

Showing posts from April 27, 2016

Maria Nyerere atembelea daraja la Kigamboni

Image
  Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam leo. Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani hapo kwani ndoto ya miaka mingi iliyoanzishwa na hayati mumewe imetimia. Pia alimshukuru sana Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa kuagiza daraja lipewe jina la Mwalimu na siyo yeye, jambo ambalo amesema limemfariji sana kwani vizazi vya sasa na vijavyo vitamkumbuka mwasisi wa Taifa.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 27.04.2016

Image

RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA

Image
Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamini Mkapa akiwa na Mwenyeji wake Uhuru Kenyatta katika State House ya Kenya baada ya kukutana na kufanya mazungumzo