Posts

Showing posts from September 7, 2013

REDD'S MISS TANZANIA 2013 WATEMBELEA RADIO 5 ARUSHA

Image
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013  walipotembelea Kituo cha Redio cha Radio 5 cha mjini  Arusha  kujionea shughuli mbalimbali na kufanya mahojiano maalum. Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wapo mkoani Arusha kwa ziara ya kimafunzo.

Ndugai awaombe radhi wapinzani

Image
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai aiombe radhi Kambi ya Upinzani kwa kitendo cha kumtoa ndani ya Bunge kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe. Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Julius Mtatiro alisema kitendo hicho ni ukiukaji wa kanuni na sheria za Bunge, na kimeidhalilisha kambi hiyo. hdg "Tukio lililotokea jana (juzi), si la kawaida, Naibu Spika ni kiongozi wa Bunge lakini wapo watu wakubwa ambao anapaswa kuheshimika sana. "Kambi ya Upinzani ina kiongozi wake ambaye ni Freeman Mbowe mwenye nafasi kubwa kama aliyonayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda. "Tofauti ya Pinda ipo nje ya Bunge wakiwa ndani ya Bunge wote wana heshima ya kufanana. "Sijui jeuri ya Ndugai imetoka wapi hivi Pinda angekuwa amesimama Naibu Spika angewaamuru askari wa Bunge wamtoe? Ndugai anapaswa kuomba radhi kwa njia ya ustaarabu tu,"alisema Mtatiro. Naye Oliver Oswa

HATIMAYE MASOGANGE NA MELISA WAAMUA KUWATAJA WALIOWATUMA UNGA A.KUSINI BAADA YA ADHABU KALI.

Image
BAADA ya warembo hao kukamatwa ilielezwa kuwa walikuwa wakigoma kueleza mzigo huo wa kilo 150 wa unga ulikuwa wa nani hivyo ikabidi polisi wa upelelezi watafute njia nyingine ya kuwalainisha kwa kuwabembeleza kuwa wakieleza ukweli wataachiwa. Chanzo hicho kilisema kuwa baada ya mbinu hiyo kushindikana ndipo wawili hao wakaingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ikiaminika kuwa watasema aliyewatuma. “Unajua Sauzi (Afrika Kusini) huwa hawana utani na ishu za madawa ya kulevya. Jamaa (polisi) wana kila aina ya mbinu ya kumfanya mtu aeleze ukweli. “Katika kutesa unaweza kuingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ambayo nayo huwa yana steji zake. “Kwanza utaanzia kwenye chumba kilichojazwa siafu wakubwa na huko unaweza usijue kuwa kuna siafu zaidi ya kuona kitu kama red carpet (zuria jekundu) kuanzia sakafuni, ukutani hadi kwenye dari, kumbe wale wote ni siafu. “Wakishakuingiza mle ndipo utashangaa wale siafu wanacharuka na kuanza kukung’ata mwili m

Azam TV kama Ulaya;

Image
Popote utakapotulia na kutazama pambano lolote litakaloonyeshwa moja kwa moja au kwa marudio, kupitia kituo cha Televisheni cha Azam (Azam TV), usiwe na shaka, utaliona pambano maridadi. Weka soda yako sebuleni kando kisha watazame Jerry Santo na Amri Kiemba wakichuana katikati ya uwanja wowote ule wa soka nchini huku kamera nane za Azam TV zinazorekodi pambano lao zikiwachukua kwa umaridadi. (P.T) Kamera nane zamrekodi mchezaji Katika pambano lolote litakaloonyeshwa na Azam TV kutakuwa na kamera nane uwanjani. Huu ni wastani wa juu wa idadi ya kamera zinazopaswa kuonyesha kwa ufasaha pambano lolote la soka ingawa katika mechi za ligi nyingine au michuano mingine kunakuwa na kamera zaidi za kuonyesha mbwembwe mbalimbali. Kamera hizi ni ghali zikiwa zimegharimu kiasi cha kuanzia dola 180,000 hadi dola 200,000 kwa kila moja. Ndani ya kila kamera kuna mchanganyiko wa mashine ya Sony huku lensi ya kuvutia matukio kwa ufasaha ikiwa ni ya kampuni ya Can

MAMA YAKE DILLISH ATHIBITISHA MWANAUME WA KENYA NDIYE BABA MZAZI WA DILLISH

Image
Delish Mathews After all the denials Ghafla! can now confirm that Kenyan ex-soldier Abdi Galgalo Guyo is Dillish Matthew's real biological father. Dillish's mother, Selma Pashukeni has confirm to Standard Group that Guyo is indeed is the BBA winner's real biological dad. In a Google hangout organized by the Kenyan Embassy in Namibia and the Standard Group, Selma and Guyo were able to talk to each other for the first time in close to 23 years. The hangout was witnessed by the Kenyan Ambassador to Namibia, Peter Gitau, Dillish's uncle and aunt. According to SDE, emotions ran high as Selma positively identified the former KDF soldier. The two former lovebirds took a stroll down the memory lane as they relived their last moment together at the airport where they last saw each other. Guyo explained that whi

TMA yatahadharisha uwepo wa kimbunga:

Image
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetahadharisha kuwepo kwa kimbunga katikati ya bahari kitakachosababisha mvua nyingi za muda mfupi. Kwa sababu hiyo mamlaka imewataka wakulima kwenye baadhi ya mikoa hasa ya kaskazini mwa nchi na iliyopo ukanda wa Ziwa Victoria kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa mapema. (P.T) Viashiria vya vimbunga hivyo vinasababishwa na joto la bahari kupungua na hivyo kusababisha mvua nyingi za muda mfupi kwa baadhi ya maeneo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi, aliwashauri wakulima wa mikoa ya kaskazini mwa Dodoma, Singida na Tabora kutafuta ushauri wa maofisa ugani wa maeneo hayo kwa vile inatabiriwa kuwa na unyevunyevu hafifu kwa kipindi cha Novemba hadi Desemba. Alitoa utabiri wa msimu wa Oktoba hadi Desemba na kuwataka wakulima wa mikoa ya Kagera, Geit

Ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika Kulinda Amani Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tu

Image
Na Lorietha Laurence-Maelezo JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetoa taarifa ya maendeleo ya wanajeshi wanaoshiriki kulinda amani kwa nchi mwanachama wa maziwa makuu Jamuhuri ya Demokrasia ya Kongo eneo la Goma. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Jeshi hilo Meja Erick Komba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. (P.T) Meja Komba alisema kuwa baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya Kijamii hususan "blogs" kuandika taarifa zisizo rasmi ambazo zinapotosha umma kuhusu ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika nchi ya Kongo. Alieleza kuwa jeshi la Tanzania linashiriki kulinda amani Nchini Kongo kutokana na Rais wa nchi hiyo Mhe.Joseph Kabila kuwasilisha ombi katika kikao cha nchi za maziwa makuu kilichofanyika Julai 12 mwaka jana mjini Addis Ababa, Ethiopia baada ya waasi wa M23 kujitenga na Serikali na kuanzisha mapambano. "Ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika kulinda amani nchini Kongo umetokana na

SIMBA SC YAITUNGUA KMKM 2-1

Image
WEKUNDU wa Msimbazi Simba SC, Chini ya kocha wake Abdallah Kibadeni "King Mputa" , kwa mara nyingine tena wamewatambia Wazanzibar baada ya kuwazamisha mabao 2-1 mabingwa wa Zanzibar KMKM katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jioni ya leo dimba la Taifa jijini Dar es salaam. (P.T) Bao la kwanza la Simba lilifungwa katika dakika ya 28 na nyota wake Said Ndemla baada ya kupokea pande maridadi kutoka kwa Issa Rashid "Baba Ubaya" Mnyama alitinga tena nyavuni katika dakika ya 41 baada ya beki wake, Mrundi, Gilbert Kaze kupiga shuti la moja kwa moja kufuatia kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kupiga chenga ama kupiga rangi mpira, Ramadhan Chombo "Redondo wa Kibongo" kufanyiwa madhambi. KMKM chini yakocha wake, Ally Bushiri ilipata bao lake la kusawazisha katika dakika ya 54 kupitia kwa Iddi Kambi aliyetumia maarifa makubwa kuizidi ngome ya simba na kuandika kimiani bao hilo. Licha ya kufungwa na Simba, K

HUYU NDO BINTI WA KIDATO CHA 4 ALIYEKIRI KUZAA MTOTO NA DIAMOND PLAUNUM

Image
MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA Habari kutoka kwa chanzo chetu cha kuaminika zilidai kuwa Sasha na Diamond walikutana katika mgahawa mmoja uliopo kwenye maduka ya Mlimani City, Dar na ndipo walipoanzisha uhusiano. Ilidaiwa kuwa Sasha akiwa na marafiki zake alitoka kwenye moja ya maduka hayo ambapo alimkuta Diamond na binamu yake, Romy Jones wakiwa wamekaa nje ya mgahawa huo. Ilidaiwa kwamba kwa kuwa Sasha anajuana na Romy muda mrefu, aliwafuata kisha akawasalimia ndipo Diamond akaonekana kuvutiwa na mrembo huyo na kumwambia kuwa atachukua namba yake ya simu ya kutoka kwa Romy kwa vile alikuwa nayo. Chanzo chetu hicho kilizidi kutiririka kuwa baada ya hapo Sasha aliondoka na marafiki zake, kipindi hicho akiwa anasoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Int

WAASI CHA FDLR NDIYO KINACHODAIWA KUWA CHANZO CHA KUZOROTA KWA MAHUSIANO MAZURI BAINA YA RAIS JAKAYA KIKWETE NA RAIS POUL KAGAME

Image
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda. UHUSIANO tete baina ya Tanzania na Rwanda bado unaendelea kupita chini kwa chini, licha ya viongozi wakuu wa nchi hizo kukutana juzi mjini Kampala, Uganda na kufanya mazungumzo ambayo hayakufika mwisho. Uhusiano huo ulizorota baada ya Rais Jakaya Kikwete kumshauri Rais Paul Kagame, kukutana na waasi wa kikundi cha FDLR kinachopigana mashariki mwa nchi ya Demokrasia ya Kongo (DRC).   Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema marais hao walikutana juzi ambapo kila mmoja aliwasilisha dukuduku lake kwa mwenzake.     “Walikutana na walipotoka walionyesha nyuso za furaha, kwa kuwa kila mmoja aliwasilisha dukud uku lake. Kila mmoja alieleza j

MWANAMKE ALIEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYAHUU NDIO UTHIBITISHO WAKE WA URAI

Image
 Anthonia Ngaoja

Aibu: Mume amruhusu mkewe AJIUZE ili wapate pesa ya chakula

Image
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, hivi karibuni mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha (26), mkazi wa Tabata, Dar es Salaam alinaswa akifanya ukahaba na kudai kwamba ana ruhusa kutoka kwa mumewe ambaye hakumtaja jina. Tukio hilo la aibu lilitokea Afrika Sana, Sinza jijini Dar ambako Aisha alisema ndiko anakofanyia biashara yake hiyo licha ya kuishi na mumewe mbali.   Mwanamke huyo ambaye hakuweka wazi kama ana watoto au la, alisema hayo kufuatia kuzuka kwa varangati la nguvu baada ya wanahabari  kumkuta yeye na mwanaume kwenye jumba moja bovu lililopo mbele kidogo ya Kituo cha Afya cha Kijitonyama, jijini Dar.   Baada ya kumulikwa na mwanga wa kamera na kubaini wameingiliwa , ndipo mwanamke huyo alikurupuka kwa hamaki na kusema:   “Pigeni hizo picha mnadhani nani ana wasiwasi. Kwa taarifa yenu mimi nina mume na mume wangu ndiye aliyeniruhusu nijiuze ili tupate pesa ya kula. “Sasa nyinyi kama mnadhani mume wangu akiona picha zangu atani

RAIS KIKWETE ZIARANI MISUNGWI MKOANI MWANZA

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni wakati alipowasili katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuanza ziara ya kikazi    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu muda mfupi baada ya kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya,iliyopo kata ya Mondo, Wilayani Misungwi,Mkoa wa Mwanza.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na bvaadhi ya watoto waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Shule ya Msingi Ntulya,katika kata ya Mondo,wilayani Misungwi   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba motto Paulo Muhangwa muda mfupi baada ya kuzindua shule ya Msingi Ntulya wilayani Misungwi,Mkoani Mwanza   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalmiana na baadhi ya wauguzi katika hospitali ya wilaya ya Misungwi wakati wa uzinduzi wa huduma ya X Ray katika hospitali hiyo, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezoi katika hospitali ya wilaya ya Misungwi wakati wa uzinduzi wa huduma ya X Ray kat

Mbunge wa Mbeya maarufu kwa jina la SUGU ajisalimisha polisi baada ya kutafutwa kwa siku mbili

Image
BAADA ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma kumsaka kwa siku mbili bila mafanikio mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu (CHADEMA), akidaiwa kumpiga na kumjeruhi mmoja wa askari wa Bunge, hatimaye alijisalimisha mwenyewe jana jioni. Taarifa zilizotufikia wakati tunakwenda mitamboni, Sugu alikwenda polisi akiongozana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na wabunge Tundu Lissu (Singida Mashariki), John Mnyika (Ubungo) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki). Akizungumza na  mwandishi wetu, Mnyika alisema kuwa Sugu hakukamatwa bali alijipeleka mwenyewe polisi kwa hiari yake na kwamba jioni hiyo majira ya saa 1:10 alikuwa akiandikisha maelezo yake. Wakati Sugu akijisalimisha, wanasheria wa Bunge nao walikuwa wamejifungia kuangalia namna ya kumkabidhi mbunge huyo mikononi mwa sheria. Juzi na jana viwanja vya Bunge vilitawaliwa na idadi kubwa ya polisi waliotumwa kumkamata Sugu lakini mpaka Bunge linaahirishwa jioni haikujulikana ni wapi alikokuw

Serikali yasalimu amri na kukubali kulipa mishahara ya wafanyakazi wa TAZARA waliokuwa wamegoma

Image
HATIMAYE serikali imesalimu amri na kuamua kuwalipa mishahara ya miezi minne wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliogoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao. Uamuzi wa kuwalipa wafanyakazi hao ulitangazwa jana bungeni na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, alipokuwa akitoa kauli ya serikali kuhusu mgomo wa wafanyakazi hao ulioanza Agosti 23 mwaka huu. Dk. Mwakyembe alisema serikali ilifanya mazungumzo na serikali ya Zambia ambayo imeshatuma dola milioni tano ambazo ni zaidi ya sh bilioni nane huku Tanzania ikitoa sh bilioni mbili kwa TAZARA. Alisema fedha hizo zilizopatikana pamoja na dola milioni 3.17 ambazo TAZARA inazidai kutoka kwa wateja wake mbalimbali zinatosha kurejesha hali ya kawaida katika mamlaka hiyo. “Tayari wafanyakazi wameshalipwa mshahara wa Mei mwaka huu, ifikapo Septemba 9, watakuwa wameshalipwa mishaahara yao ya Juni, Julai na Agosti,” alisema. Mwakyembe alisema serikali inatarajia wafan