Posts

Showing posts from October 8, 2013

Mwanamke anaswa akijichua kwa kutumia MAHINDI ( Mahindi chakula

Image
Uhaba wa wanaume umeendelea kuwa janga la kimataifa kwa akina dada ambao kiidadi ni wengi kuliko wanaume.. Mwezi wa sita mwaka huu, mtandao huu ulitupia video moja ya mwanamke wa kibongo akifanya mapenzi na chupa ya Coca cola baada ya kuhangaika kwa miaka mingi bila kumpata mwanaume wa kumfariji... Kana kwamba haitoshi, mwezi wa tisa mwaka huu, mtandao huu ulitupia habari moja ikionesha kundi la wanawake ( sio watanzania) ambao waliamua kuandamana ili kuishinikiza serikali yao iwasaidie WAOLEWE. Kwa matukio hayo machache, uhaba wa wanaume duniani umeendelea kuwatesa wanawake na kuwafanya wafanye maamuzi magumu likiwemo la huyu dada aliyeamua kufanya mapenzi na mahindi... Kwa mujibu wa mtu aliyetutumia picha hizi, mrembo huyu alikuwa shambani akivuna mahindi katika bustani yao ...Baada ya kuzidiwa, alijisogeza pembeni na kuanza kujiridhisha kwa kutumia mhindi ...

5th International African Festival Out Now!

Image
Africa festival Enie Susan Tatah, CEO of Afriactive and African International Festival,Tubingen 5th International African Festival Tübingen 17. – 20 July 2014 Tübingen will once again host the International Africa festival 2014. The 5th Edition will bring you the best in African diversity, culture, music from the continent and beyond. Save this date now, and join us in Tübingen for world-class performances, unbeatable atmosphere, meet and make new friends. We welcome you to the African Village in Tübingen - 4days non-stop, spice up your life and be amongst the thousands of people that will celebrate the 5th anniversay of Tübingen Africa Festival. Stay online for more details www.afrikafestival.net Call for Artist 2014 Are you interested in performing next year at the 5th International African Festival in Tübingen - Stuttgart south of Germany? Are you a band on tour, looking for festivals to promote and sell your CDS? Are you interested in supporting the aims and ob

T.I.D amwaga MACHOZI baada ya KUPIGWA CHINI na demu Wake

Image
Sifa mojawapo ya Mwanaume jasiri ni kuwa na uwezo wa kukabiliana na GUMU lolote litakalokukabili katika maisha yako...Hapa namzungumzia msanii TID ambaye yuko kitandani akiuguza maumivu ya kuachwa na demu wake Sote tunayajua maumivu ya mapenzi pindi unapoachwa na mtu flani umpendae, mtu ambaye ulimwamini na kukubali kumvulia nguo zako na kisha kumpa moyo wako... Pamoja na maumivu ya KUPIGWA KIBUTI na demu wake, TID amepiga moyo konde na kujitosa facebook kueleza kilichomsibu. “I am very sad to tell u guys that ……….am single again my girl just left me,” ameandika TID kwenye Facebook. Na ofcourse, mashabiki hawajamwacha peke yake. “There are plenty of fish in the sea, and you fish with dynamite ndugu wangu, hakuna matata, means she was not worth to stand next to you…,” ameandika mmoja na mwingine kumwambia, “I’m guessing there is going to be an awesome song of this sad

HOUSE GIRL (Mfanyakazi wa ndani ) akutwa AMEKUFA kisimani na huu ndo ujumbe Alioucha

Image
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Mwantumu Hassan (22) amekutwa amekufa ndani ya kisima, huku akiwa ameacha ujumbe wa "Mwantumu A Hassan najua kitakuwa kilio kwetu, mniombee nifike niendako mwisho wa kuishi duniani". Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, tukio hilo ni la juzi sa 3:00 usiku katika maeneo ya Mbezi Juu, Goba kwa Mloa. Alisema kwa mujibu wa mtoa taarifa Manara Kakwezi (28), mfanyakazi huyo wa ndani hakuonekana maeneo ya nyumbani kwa muda mrefu, jambo lililowatia wasiwasi na kuamua kuanza kumtafuta. “Walimkuta katika kisima cha maji safi ambayo ni kwa ajili ya matumizi ya kila siku akiwa ameshakufa,” alisema kamanda. Mara baada ya kufanya upekuzi katika vitu vyake ndipo ulikutwa ujumbe huo katika pochi yake. Uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha kifo chake, maiti imehifadhiwa hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi. Katika tukio jingine, mpanda minazi aliyetambuliwa kwa jina la Ally Ramadh

Penny amwaga MACHOZI baada ya kusikia kuwa Diamond na Wema Sepetu wamerudiana kimya kimya

Image
ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Penny, mwanadada huyo amekuwa akikosa amani kila anaposikia habari za Wema kurudiana na Diamond hivyo kuwa katika wakati mgumu. “Watu wanapomwambia au kumuuliza Penny habari za Diamond kurudiana na Wema amekuwa akiumia sema tu watu hawajui,” kilisema chanzo hicho. Hata hivyo, baada ya taarifa hizo kuwa habari ya mjini, mwishoni mwa wiki iliyopita, Penny alifunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anachokifanya ni kuhakikisha anamshikilia staa huyo wa Bongo Fleva hadi hapo Mungu atakapoamua vingine. “Katika uhusiano niliowahi kuwa nao huu ni mgumu mno,” ilisomeka sehemu ya utetezi wa Penny aliouandika juu ya penzi lake na Diamond. Hakuishia hapo

Vijana 11 wakamatwa wakipewa mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CD za Al Shabaab

Image
Na Abdallah Bakari, Mtwara — POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CDs za al-Shabaab. Tukio hilo la aina yake limetokea katika mlima Makolionga wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa ambapo pia CDs zenye mafunzo mbalimbali ya kijeshi 25 zimekamatwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen ameuambia “mtandao wa Kusini Leo” kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wiki moja iliyopita baada ya jeshi lake kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema : “CD hizo zilikuwa zinatoa mafunzo ya Al-Shabaab ya kuchinja watu, Mauaji wa Osama Bin Laden, Zindukeni Zanzibar, Kuandaa Majeshi, Mauaji ya Idd Amin na Mogadishu Sniper,” alisema Stephen. Alisema watuhumiwa wote ni wakazi wa wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa na kwamba walikuwa wakiongozwa na Mohamed Makande 39, mkazi wa kijiji cha Sengenya ambaye pia anashikiliwa na jeshi hilo. Aliwataja wengine waliokamatwa kuwani Hassan Omary (39) mkazi wa kijiji cha Nanyulu,

AIBU: Video ya akina mama wa kitanzania wakicheza uchi ndani ya ukumbi wa kitchen part yavuja mtandaoni

Image
Wanawake kadhaa wa kibongo ambao mpekuzi wetu hajafanikiwa kuwatambua majina yao wamenaswa live ndani ya ukumbi wakicheza uchi kwa kisingizio cha Kumfunda mwana mwali.. Katika video hiyo chafu, akina mama hao wanaonekana wakianza mchezo wao huku wakiwa wamevaa kawaida... Baada ya dakika moja mbeleni, video hiyo inawaonesha akina mama hao wakisaula nguo moja moja mpaka walipobaki uchi wa mnyama na kisha kuendelea kucheza bila aibu.. Bofya hapo chini ujionee.. <<BOFYA HAPA KUJIONEA>>

Mwanafunzi wa darasa la 3 auawa na baba wa kambo kwa kupigwa

Image
Mtoto Baraka Deogratias mwenye umri wa miaka tisa ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kitunda jijini Dar es Salaam,amedaiwa kuuawa na baba yake wa kambo baada ya kumpiga kwa kosa la kutosahishiwa baadhi ya madaftari yake ya shule na kusababisha mtoto huyo kupoteza maisha. ITV ilifika nyumbani kwao marehemu Baraka Deogratias ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kitunda,na kukuta ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika msiba huo,ambapo mama mzazi wa marehemu Baraka Bi Veronica Jeremiah amesema siku ya Jumamosi ya tarehe 5 Octoba 2013 saa 2 usiku mume wake bwana Masaka Limbu alifika nyumbani na kuanza kukagua madaftari ya watoto wawili ambao ni Pita masaka ambaye ni mtoto halali wa mtuhumiwa na Baraka Deogratias ambaye ni mtoto wa kambo ... Wakiwa chumbani na baba yao alisikia kilio cha mtoto wake ambaye hakuzaliwa na mume huyo akilia kwa uchungu lakini alipofika alikuta hajiwezi na alipomkimbiza katika zahanati

Huddah ajifanya MBWA na kupiga picha za UCHI akiwa katika mapozi ya MBWA

Image
Ulimbukeni na stress za maisha zimeendelea kumtafuna msanii Huddah kiasi cha kufikia hatua ya kuukosea heshima mwili wake kila kukicha.... Siku chache zilizopita, mrembo huyu alitupia picha ya tako lake huku mkono wake wa kulia ukiwa umewekwa ndani ya haja yake kubwa.... Kana kwamba haikutosha, mrembo huyu ameamua kujifanya mbwa baada ya kukaa pozi la mbwa akiwa uchi kitandani na kisha kuitupia picha hiyo mtandaoni huku akiwataka watu waseme kama ni mzuri au mbaya. Bofya hapo chini kujionea vituko vya mastaa. << BOFYA HAPA UJIONEE>> TOA MAONI YAKO NA USISAHAU KULIKE PAGE YATEU YA FACEBOOK