Posts

Showing posts from January 24, 2015

Je unasumbuliwa na tatizo la kutodumu na mpenzi mmoja?fanya haya kuepuka tatizo

Image
  Ni matumaini yangu marafiki mtakuwa mko poa na mnaendelea na majukumu ya kazi za kila siku. Kama kawaida kupitia safu hii tunapata kujifunza yahusuyo mapenzi. "Ninapoandika makala haya, najaribu kujenga picha kwa vijana wangu wakali kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba na Judith Wambura ‘Jide’ walipoimba; hakunaga mapenzi yale… kupendana ni zama za kale!... siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poapoa tu ". Kizazi cha zamani hakikupata shida sana katika hili. Kilisubiri muda muafaka ufike ndipo mtu athubutu kufanya maamuzi ya kuingia katika uhusiano ambapo ndani ya muda mfupi basi ndoa ilichukuwa nafasi. Kizazi cha sasa hivi, kimetawaliwa na tamaa, vijana wanaingia katika uhusiano wakipelekwa na tamaa za kimwili pasipo kutazama umri na madhara ya kukurupukia mapenzi. Matokeo yake sasa, ndiyo pale unapoona vijana wanateseka katika kumpata mke au mume wa maisha. Ukweli ni kwamba, tatiz

ACHA USHAMBA, JIONGEZE! KWA VIGEZO HIVI KWELI ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO?!

Image
NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana habari na ujumbe wako lakini ukikutana naye na kumuuliza kama anakupenda anakwambia anakupenda .  Tatizo hili linawapata watu wote lakini mara nyingi zaidi limekuwa likiwatesa wanawake. Wanaume wengi wanapoingia kwenye uhusiano wanakuwa mafundi sana wa kutuma meseji.Tena meseji zile zenye kumfanya mwanamke ajione mwenye thamani ya hali ya juu.  Wanakuwa mahodari wa kuandika maneno matamu, wanapiga simu mara kwa mara. Hicho ndicho kipindi huwa wanapiga simu kuuliza kama wapenzi wao wamekula au wamelala au kuuliza ‘unafanya nini sa hiv

ALICHOKISEMA AY KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA SIRI NA MSANII AMANI WA KENYA

Image
  So apparently AY and Amani were an item. And for three long years too! Who knew? The Tanzanian celebrity revealed this to the Standard Digital adding that it was the best relationship he has experienced so far.The Kenyan beauty Amani apparently was quite straightforward and although AY did not state the reason for their break-up, he had nothing but good things to say about his ex-girlfriend. Amani who is set to wed her Nigerian boyfriend must have been very frank with her then boyfriend and fellow artiste, since AY said that his relationship with Amani revealed to him how straight-forward Kenyan women are.He continued to say that at no one time in the three years they were dating did Amani ever mix business with pleasure. Talk about an ex who does not hate. If asked if he was seeing anybody, he said he wasn’t at the moment. So, good news for the ladies; the Tanzanian hunk is up for grabs.

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA

Image
Ikulu imeitisha mkutano wa ghafla na waandishi wa habari muda huu na mkutano huo utaanza ndani ya nusu saa kuanzia sasa. Taarifa zinasema ni kwamba mkutano huu umeitishwa ili kutangaza mabadiliko madogo ya mawaziri na mawaziri hawa wanapaswa kuapishwa kesho kabla ya Rais Kikwete kuondoka kwenda Davos Uswisi kesho hiyo hiyo jioni. Tutakujuza kinachoendelea Ikulu UPDATES: Katibu Mkuu kiongozi anasoma majina ya mawaziri Walio teuliwa 1. George Simbachawene- Waziri Nishati 2.Mary Nagu-Waziri wa Nchi mawasiliano na Uratibu 3.Christopher Chiza-Waziri uwezeshaji na Uwekezaji 4.Halson Mwakyembe-Ushirikiano wa afrika mashariki 5.Lukuvi-Ardhi Nyumba na Makazi 6.Steven Wasira-Kilimo chakula na Ushirika 7.Samwel Sitta -Wizara ya Uchukuzi 8.Jenista Muhagama-Sera na uratibu wa Bunge Mawaziri Kamili George Simbachawene- Waziri wa Nishati na Madini Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu Harrison Mwakyembe - Waziri wa Afrika Mashariki. Wiliam Lukuvi - Waziri wa Ar

MWENYEKITI AKATWA KICHWA NA SEHEMU ZA SIRI KISHA KUWEKWA KWENYE SUFURIA MKASA MZIMA

Image
Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayan MLELE mkoan KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwny moto n kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayan MLELE wanaendelelea n uchunguz kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojir wilayan kwetu MLELE

RAIS MSTAAFU MWINYI USO KWA USO NA LOWASSA MONDULI

Image
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai,leo Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto. Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha miaka 20 toka kuanzishwa kwake,huko Monduli Mlimani, leo jumamosi 24 January. Mke wa mbunge wa Monduli mama Regina Lowassa akipanda mti wa kumbukumbu ya miaka 20 tokea kuanzishwa kwa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai wilayani Monduli leo jumamosi January 24.Anayeshuhudia ni mumewe Mh Edward Lowassa na mbunge wa Viti maalum(ccm) mkoa wa Arusha Mhe Namelok So

BREAKING NEWS: WAZIRI PROFESA MUHONGO ATANGAZA KUJIUZULU

Image
Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania Professor Sospeter Muhongo ametangaza rasmi kujiuzuru wadhifa wake hii leo kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegera Escrow. Taarifa kamili itawajia hivi punde! Toa maoni yak hapo chini tafadhali!