Posts

Showing posts from February 8, 2014

JE WAJUA MUME ANAWEZA KUMFANYA MKEWE KUWA ZUZU?!!!...

Image
Ni wazi unawajua wanawake ambao wanaishi katika ndoa ngumu za manyanyaso hadi unafikia kuuliza, ‘hivi huyo mwanaume amempa kitu gani kikubwa hivyo?’ Wanawake hawa nao wanakuwa wamefikia mahali ambapo wanaamini kuwa wanatakiwa kuishi hivyo, kwenye uhusiano wa ain hiyo. Ni kitu gani kinatokea hadi mwanamke kuamini kwamba yeye ameandikiwa kuishi kwenye ndoa ya shida na karaha na mwingine kuamini kwamba hivyo ndivyo ndoa zinavyotakiwa kuwa? Malezi na mazingira ni moja ya sababu kuu, lakini usugu ni sababu nyingine. Ninaposema usugu nina maana kwamba mwanaume anatokea kumdhalilisha mwanamke na mwanamke huyo kuvumilia hadi anajikuta amefikia kuamini kwamba hiyo ndio ndoa, hivyo ndivyo anavyostahili kuishi. Mwanmke anapovumilia mateso ya ndoa kwa muda mrefu sana bila kujua ni kwa nini au kwa matarajio kwamba mmewe atabadilika, hufikia mahali ambapo kujiamini kwa mwanamke huyo huisha na hujishusha kithamani na kuwa chini kabisa. Hebu jaribu kuwachunguza wa

GODBLESS LEMA AFANYA TUKIO LINGINE LA AJABU .... SAFARI HII AMKWIDA SHATI KIGOGO WA CCM NDANI YA KITUO CHA POLISI

Image
Godbless Lema akiongozwa na wafuasi wake. ********** Wakati uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata ya Sombetini katika Jiji la Arusha, ukitarajiwa kufanyika kesho, hali imeanza kuwa tete baada ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wa Wilaya ya Arusha, Elisante Kimaro na Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema kukunjana mashati katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Arusha jana. Wakati hayo yakifanyika, usiku wa kuamkia jana mashina matatu ya jumuiya ya vijana wa CCM (UVCCM) yaliyozinduliwa na Mjumbe  wa NEC katika wilaya ya Arusha, God Mwalusamba katika kata ya Sombetini Jijini Arusha yameng’olewa na bendera zake kuchomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa  Chadema. Akizungumzia tukio la kukunjana mashati, Katibu wa CCM wa wilaya ya Arusha, Elisante Kimaro alisema Mbunge Lema alitaka kulazimisha kufungua shina la vijana wa chama chake sehemu ya Sombetini shuleni, mahali ambapo CCM imezindua siku mbili zilizopita, kitu ambacho vijana wa UVCCM

LIVERPOOL WAICHAPA ARSENAL 5

Image
On top of their game: Liverpool celebrate their humiliation of title rivals Arsenal on Saturday afternoon Hit the road, Jack: Arsenal midfielder Wilshere can't believe his side's capitulation against their rivals Flying start: Martin Skrtel (left) prods home the first goal after just 52 seconds at Anfield Roar of delight: The Slovakia centre-half wheels away in celebration after his opening strike Head boy: Skrtel (left) doubled Liverpool's advantage with a superb finish while leaning back Back of the net: Arsenal goalkeeper Wojciech Szczesny dives in vain to try and stop Skrtel's header Predator: Raheem Sterling adds the third goal by tucking away a simple finish at the back post Sterling job: The Liverpool winger is hoisted into the air by team-mate Luis Suarez to celebrate Join the party: Daniel Sturridge slots into the back of the net with his left foot to make it fou

NJIWA WA MAAJABU ATUA MAHAKAMANI KAHAMA KWENYE DHAMANA YA MH KASULUMBAYI ... HAIKUPITA MIDA, AKAPEWA DHAMANA

Image
 JIWA MOJA AMBAYE AKUJULIKANA ALITOKA WAPI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA  KABLA YA KUPEWA KWA DHAMANA KWA WAFASI WA CHADEMA NA MBUGE WAO SLYVESTER KASULUMBAYI .  MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIWA NA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA NA MWENYEKITI  JUMA PROTEX WAKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUKIDHI HATI YA  DHAMANA  MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIONYESHA VIDOLE JUU WAFASI WAO BAADA YA KUPEWA DHAMANA .  WAKIWA NA FURAHA BAADHI YA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASI CHADEMA WAKITOKA NJE YA MAHAKAMA YA WILAYA  HIVI NDIYO HALI YA KUWA HURU KWA MBUGE WA MASWA MASHARIKI KWA TIKETI YA  CHAMA CHA DEMOKRASIA MAENDELEO  CHADEMA.  BAADHI YA WAFASI WA  CHADEMA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA WEZAO KUPEWA DHAMANA  HATA HIVYO PIKIPIKI NAZO ZILIKUWEPO KWA  MAPOKENZI  KWA KWENDA OFISINI KWAO  HIVI NDIYO BAADHI YA BARABARA TOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA KWENDA KATIKA OFISI YA CHADEMA BAADA YA MBUGE KUPEWA DHAMANA

Mshuhudie Shilole akiwa ndani ya vazi la Kanga moja kitandani…

Image
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’  ameamua  kuachia  picha  adimu  akiwa  kitandani  na  kanga  moja  tu  bila  chochote  kama  ishara  ya  kuwashukuru  mashabiki  wake  kwa  sapoti  kubwa  ambayo  wamekuwa  wakimpa  na  kumfanya  awe  juu  kimuziki… Domo  langu  limefanikiwa  kuzinasa  nakala  adimu  za  picha  hizo  kama  zinavyoonekana  hapo  chini Tupe Maoni yako hapo chini

WAZIRI FENELLA AFUNGUA MSHINDANO YA DAR COMMUNITY CUP

Image
Mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akimpa matibabu mchezaji wa  Shule ya Sekondari Kawe Thomas Ibrahim aliyeumia wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Dar es Salaam Community Cup leoo katika viwanja vya shule ya msingi Turiani. Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Henry Lihaya akimkaribisha  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara(wa pili kushoto waliokaa0 wakati wa uzinduzi wa ligi ya Dar es Salaam Community Cup leo katika viwanja vya shule ya msingi Turiana Magomeni jijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inashirikisha timu 12 kutoka shule za Sekondari za jiji la Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na washiriki wa mashindano ya Mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la Dr es Salaam Community Cup leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua rasmi mashindano hayo, kushoto ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Waziri wa Habari, Vijana, Utamad

HOMA YA ‘KITIMOTO’ YALETA HOFU MKOANI MBEYA

Image
 Nyama ya nguruwe. Ugonjwa wa homa ya nguruwe, umeibuka tena katika Jiji la Mbeya na kuua nguruwe 166 wenye thamani ya Sh33 milioni hadi ilipofika juzi. Picha na Maktaba  Ugonjwa wa homa ya nguruwe, umeibuka tena katika Jiji la Mbeya na kuua nguruwe 166 wenye thamani ya Sh33 milioni hadi ilipofika juzi. Tayari Mganga Mkuu wa Mifugo katika jijini hilp, Dk James Kawamala ametangaza karantini ya kuzuia kuingia au kutoa nguruwe kwenda katika eneo lingine. Kwa mujibu wa matangazo yaliyobandikwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ni marufuku kwa mtu yeyote kuchinja ama kusambaza na hata kutoa zawadi ya nyama ya nguruwe ambaye haijathibitishwa na daktari wa mifugo wa jiji. Alipoulizwa kuhusu hali ya ugonjwa huo, mganga huyo alisema ni mbaya na kwamba tayari nguruwe 166 wamekufa hadi juzi. Alisema taarifa zinasema ugonjwa huo pia umeripotiwa katika Wilaya za Rungwe na Mbeya Vijijini. ‘’Kwa namna yoyote ile, wanyama wote wa jamii ya nguruwe kwa sasa watatakiwa kuthibitishwa kwa k

JACK CHUZ ASHANGAA KUKOMALIWA AMZALIE MUME!

Image
Stori: Mrisho Mapeyo Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ amewapa makavu laivu baadhi ya watu wanaoshangaa na kuhoji inakuwaje anatimiza mwaka mmoja ndani ya ndoa bila kuzaa. Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ akiwa na mumewe siku ya ndoa yao. Akizungumzia maneno ambayo amekuwa akiyasikia kutoka hata kwa watu wake wa karibu wakiwemo wasanii wenzake, Jack alisema anawashangaa kwa kuwa wanashindwa kujua kwamba kuolewa ni sheria lakini kuzaa ni majaliwa. “Ni kweli ndoa yangu keshokutwa tu inatimiza mwaka mmoja lakini nawashangaa wanaohoji kutokuzaa kwangu, wao wako nje ya ndoa hawajui mambo yanaendaje, wakiingia watajua kuwa kuzaa ni majaliwa ya Mungu,” alisema Jack.

PELLEGRINI AWA KOCHA BORA TENA LIGI KUU ENGLAND,ADAM JOHONSON NDIYE MCHEZAJI MKALI KULIKO WOTE

Image
  Kiboko yao: Nyota wa Sunderland, Adam Johnson ameshinda mchezaji bora wa mweziMfululizo: Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi wa Ligi Kuu England KOCHA Manuel Pellegrini ameshina tuzo ya kocha bora wa mwezi Ligi Kuu ya England, baada ya Manchester City kuweka rekodi nzuri Januari ikishinda mechi nne kati ya nne. Huu ni mwezi wa pili mfululizo Pellegrini anashinda tuzo hiyo - na mara ya kwanza kwa kocha mmoja kushinda mara mbili mfululizo tangu Carlo Ancelotti afanye hivyo akiwa kocha wa Chelsea mwaka 2011. Nyota wa Sunderland, Adam Johnson ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu baada ya kazi nzuri aliyoifanya mwezi uliopita akifunga mabao matano.

MCHEZAJI ABAMBWA AKIWA AMEVAA CHUPI YA BIKINI UWANJANI

Image
  Sihitaji sana kutoa maelezo juu ya picha hii ambayo ukiangalia mwenyewe unaelewa mara moja

NAPE:KUWAZUIA WATU KUPIGA KURA NI KUHUJUMU DEMOKRASIA.

Image
 Katibu wa NEC tikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyasura wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani ambapo aliwaeleza wananchi haikuwa rahisi kuwaleta watanzania pamoja,hivyo basi wakatae kabisa vyama viinavyotaka kuwatenganisha kwa misingi ya udini na ukabila.  Wakazi wa kata ya Nyasura wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea nchi nzima ambapo kata 27 zitafany uchaguzi wa madiwani.  Wakazi wa Kata ya Nyasura wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Nape Nnauye ambaye aliwaambia safari hii CCM haipo tayari kuhujumiwa na kutaka watu wengi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na kutoa wito kwa vijana kulinda wapiga kura wa CCM. Mgombea wa Udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Nyasura  Ndugu Alexander Mwikwabe akiomba kura toka kwa wananchi wa Nyasura kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nyasura ambapo mgeni wa heshima alikuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nn