Posts

Showing posts from May 19, 2016

Ndege ya Mfalme Mswati Yazuiwa Canada

Image
Mfalme wa Swaziland Mswati wa tatu akiwa na mmoja wa wake zake. NDEGE binafsi ya Mfalme wa Swaziland Mswati wa tatu, imezuiwa nchini Canada kwa mara ya pili ndani ya miaka miwili kutokana na mzozo wa deni. Ndege hiyo ilizuiwa kama sehemu ya kesi iliyo mahakamani, iliyowasilishwa na aliyekuwa mfanyibiashara mwenza wa mfalme Mswati raia wa Singapore Shanmuga Rethenam, ambaye anasema kuwa anaudai ufalme wa Swaziland kiasi cha dola milioni nane. Jana Jumatano msemaji wa serikali ya Swaziland Percy Simelane, alikana madai kuwa mfalme ana deni lolote na kuongeza kuwa hatasema zaidi kwa kuwa kesi iko mahakamani.

Wabongo Wataja Njia 3 za Kumaliza Sakata la Lugumi

Image
Rais John Pombe Magufuli. DAR ES SALAAM: Sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises inayomilikiwa na Said Lugumi (pichani) kudaiwa kuingia mkataba tata wa mabilioni ya shilingi wa kufunga mashine za kutambua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini, limeingia mitaani huku baadhi ya Wabongo wakitaja njia 3 za kumaliza ishu hiyo. Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, baadhi ya wananchi walionesha shaka yao kuhusu sakata la Lugumi kuwa gumzo likiumiza vichwa vya wabunge kama vile mhusika amekwenda Ulaya, hivyo wakatoa maoni yao. Shida Waziri, mkazi wa Ubungo External, Dar alisema: “Lugumi mwenyewe tunaambiwa hayupo mbali, anaendelea kuishi kwa amani hapahapa Tanzania. Mimi nashauri aitwe, ahojiwe mbele ya jopo la watu maalum, wakiwemo Usalama wa Taifa. “Hii itasaidia sana kwani ataweza kuanika kila kitu. Mkataba ulivyokuwa, ulivyokwenda, nani na nani walihusika.” Said Lugumi John Joseph, mkazi wa Kigogo, Luhanga, Dar: “Mimi nashauri serika

Zari, mama Diamond…

Image
Zarinah Hassan ‘Zari’ DAR ES SALAAM: Inadaiwa ilitokea lakini haikuandikwa! Kuna habari kuwa, ile safari ya familia ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kula bata kwenye nchi za Ulaya, ilikuwa na mambo mengi lakini kubwa ni madai ya kuwepo kwa mtifuano kati ya mama Diamond, Sanura Kasim na Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni mzazi mwenzake, Diamond. Kwa mujibu wa chanzo, mtifuano kati ya Zari na mkwewe huyo ulitokea baada ya siku moja mkwe huyo kuteleza kwenye ngazi za umeme wakiwa wanapanda, Zari akamuwahi kwa kumshika mkono hali iliyomtibua mama huyo. Diamond na mama yake mzazi, Sanura. “Jamani kuna hili la mama D (Diamond) na Zari kutibuana nchini Sweden. Wakiwa kule, siku moja walikuwa wakipanda zile ngazi za umeme, sasa mama Diamond akateleza, Zari akasema amuwahi ili mkwewe asifike chini, si akamchenjia. Aliusukuma mkono wa Zari na kumwambia amwache mwenyewe. “Naamini kuna kutokuelewana kwa ukweli kabisa kati ya mama Diamond, bintiye yu

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 19.05.2016

Image

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
Posted by JAFE MALIBENEKE at Thursday, May 19, 2016 Email This BlogThis! Share to Twitter

Edward Lowassa na Fredrick Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba za Serikali.......Mbowe Atoa Ufafanuzi

Image
Uuzwaji wa nyumba za serikali umegeuka mwiba huku wabunge wakiendelea kuhoji hatua zilizochukuliwa kutokana na kadhia hiyo Hatua hiyo iliyotekelezwa mwaka 2002  hadi 2004 ilizusha malalamiko mengi tangu wakati huo na sasa imeibuka tena bungeni Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano jana, mbunge wa Nachingwea, Hassani Masala (CCM) alihoji mfumo uliotumika kuuza nyumba za serikali Alisema haungi mkono kwa vile umesababisha viongozi wapya wa serikali wanaoteuliwa kujikuta wakiishi katika nyumba za wageni. Mjadala huo uliibuliwa juzi na msemaji wa kambi ya upinzani Bungeni kupitia kwa waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Godbless Lema kabla ya Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu kumtaka kuondoa baadhi ya maneno katika hotuba yake likiweo suala la uuzwaji wa nyumba za serikali.  Ritha Kabati Amvaa Lowassa Akichangia mjadala huo jana, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Ritha Kabati alimtaja aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demok

SEVILA MABINGWA TENA EUROPA LEAGUE 2016,WAICHAPA LIVERPOOL

Image
Sevilla players pose with the trophy after completing a stunning second-half comeback to win a record third consecutive Europa League Liverpool coach Jurgen Klopp (centre) tries to console his players after losing a fifth consecutive cup final as a manager The Spanish side, who have not won an away game in La Liga all season, celebrate victory in front of their fans in Basle The Liverpool manager gives goalscorer Daniel Sturridge a hug (left) while Martin Skrtel puts an arm around Philippe Coutinho (right) Sevilla captain Coke wheels away after scoring the first of his two goals in the 3-1 victory over Liverpool Coke netted his second six minutes after his first despite calls for offside from enraged Liverpool players France striker Kevin Gameiro grabs the badge on his shirt after bringing Sevilla level 17 seconds into the second half Sturridge (centre) opened the scoring for Liverpool with a stunning long-distance shot struck with the outside of his boot Both sides line up