Posts

Showing posts from March 27, 2014

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI BBC

Image
Senior Mentor Job at BBC Media Action Tanzania Location: Tanzania Reports to: Niambie Project Manager Contract duration: 12 months (with possible extension) Application instructions: Candidates should send their CV and a covering letter (PDF or Microsoft Word format) which outlines their experience and suitability for the role in English to tzrecruitment@tz.bbcmediaaction.org. The name of the position applied for should be included in the subject line of the email. Please do not send certificates or other attachments. Applicants with no separate covering letter will not be considered. Please only apply if you meet the basic criteria under the person specification. This is a local post applicable to people who have the legal right to live and work in Tanzania. 'National terms and conditions will apply'. Only shortlisted candidates will be notified. Application deadline: Thursday 10 April 2014 Job purpose: To lead the capacity-building of var

ANGALIA PICHA MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA,ASEMA MSHAHARA MDOGO

Image
Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.   Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar . Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani ambalo limesheheni madadapoa wa kila aina wakiwemo mabinti wadogo. Chanzo hicho kilimwaga data kuwa, kuna mzee maarufu kwa jina la babu katika eneo hilo ambaye amekuwa akiwapa machangudoa hifadhi katika banda lake na kuwapa magodoro chakavu kwa malipo ya shilingi elfu moja kwa kila kichwa. KISIKIE CHANZO “Jamani kwenye danguro hili kila aina ya uchafu upo. Wanatukwaza sisi Wakristo ambao tupo katika kipindi hiki cha Kwaresma,” kilitiririka chanzo hicho cha kuaminika maeneo hayo. OFM KAZINI Ili kujiridhisha na taarifa hizo, makamanda wawili wa OF

HIZI NI DALILI ZA MWANAMKE MJAMZITO

Image
Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.  Inaonesha kuwa homoni zinazosambaa mwilini mara tu unapopata ujauzito husababisha mabadiliko kadhaa katika mwili wake ambayo yanaweza kugundulika kabla hata ya uchunguzi halisi wa kujua kama mjauzito au la.  1. Maumivu kwenye matiti. Hii ni dalili ya kawaida ya ujauzito ambapo nguvu za homoni mwilini huongezeka wakati yai linavyopata “rutuba”, jambo ambalo huongeza wingi wa damu na kuyafanya matiti ya mwanamke kuvimba na kuwa makubwa isivyo kawaida.  2. Maumivu mwilini Baadhi ya wznawake wanajisikia maumivu kama vile wanataka kuingia katika siku zao. Kwa kawaida hali hii hutokea wakati yai likiwa linasafiri kwenda katika chumba cha mimba. Hivyo, hali hiyo husababisha sehemu hiyo itanuke taratibu na kusababisha maumivu hayo.  3. Kutokwa damu bila kutegemea Wanawake wengi hu

MAMBO 39 YANAYOVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU NDOA.

Image
1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa. 6. Kutokuwa na roho ya msamaha. 7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako. 8. Usaliti wa mapenzi. 9. Kuigiza kupenda. 10. Kutomheshimu mwenzi wako. 11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua. 12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi wako katika maisha yako. 13. Kuwa na jeuri. 14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani. [chumbani] 15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako [ndugu,watoto n.k] 16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa pamoja. 17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako [kutokujua jinsi ya kumfariji mwenzi wako] 18. Kutomridhisha mwenzi wako kimapenzi. 19. Kuwa na amri kwa mwenzi wako hata kwa mambo yasiyokuwa na maana au malengo katika maisha yenu. 20. Ugomvi wa muda mrefu usiokuwa na suluhu. 21. Kuwa na ahadi za uongo. 22. Kumdhalilisha mwenzi wako mbele za watu. 23. Kupenda starehe

TUNDULISU AZUA BALAA BUNGE LA KATIBA SOMA HAPA

Image
Kikao cha UKAWA ambacho pamoja na mambo mengine Kiongozi wa umoja huo Freeman Mbowe alitoa hoja ya wajumbe wa bunge la katiba kurudi makwao na kuendelea na shughuli nyingine za kuwashawishi watanzania wote huko majimboni wakawahamasishe umma kuikataa katiba ambayo imevamiwa na chama kimoja cha CCM  Hoja  ambayo iliungwa mkono na idadi kubwa ya wajumbe katika kikao hicho huku wengine wakitaka ile jana wengine wakitaka waondoke leo asubuhi baada ya kushiriki katika session ya asubuhi na baada ya kiapo watu watimke mle ndani lakini baada ya majadiliano mengi na hoja hiyo kuchangiwa lilikuja wazo la Tundulisu ambalo limejigawa katika sehemu tano(5) muhimu ambapo alisema: (1)Tusivunje bunge kwa hoja dhaifu ila tuvunje bunge kwa hoja nzito hata tukiwaeleza watanzania watufahamu lakini isiwe hatukuchaguliwa katika kamati ya uongozi sababu hiyo tu itufanye tuvunje bunge watanzania watatuona tuna uroho wa madaraka. (2) Alisema Kwa nini tujitoe katika utungwaji wa katiba

WANAFUNZI WA MWENGE WASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA UBAKAJI

Image
Katika jambo ambalo limevuta hisia za wanafunzi wengi na walimu wa Chuo cha Mwenge ni Tukio lililotokea leo Majira ya Jioni hii katika Chuo cha Mwenge kilichopo Moshi. Kwa Mujibu wa mzazi wa watoto wanaotuhumiwa kubakwa aitwaye Redenta Boniface Tarimo alieleza tukio zima kuwa siku ya ijumaa majira ya Jioni Binti yake aitwaye Modesta Boniface Tarimo mwenye umri wa miaka 15 na ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Maki Sekondari iliyoko Olele huko Marangu Kitowo alitoweka nyumbani Huko Marangu Kitowo akiwa na mwenzake aliyetambulika kwa jina la Kresta A. Mroso mwenye umri wa Miaka kumi na sita na hawakuweza kuonekana mpaka jumapili jioni. Baada ya kuonekana ndipo walipobanwa na kusema walikua Moshi mjini kwa Mwanaume ambaye alikua ni mwalimu wao shuleni na anasoma chuo cha Mwenge. Afisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto Afande Kasusura akiwa amemkamata Mtuhumiwa mmoja aitwaye Majaliwa nje ya chuo cha Mwenge. Baada ya maelezo ya

BONGO MOVIE WATOA MSAADA HOSPITALI MWANANYAMALA

Image
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie. Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Mabibo beer na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala mara baada ya wasanii wa bongo movie na Kampuni ya Bia ya Mabibo kutembelea na kukabidhi misaada katika hospitali ya Mwananyamala mapema leo.  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer, Mama Benadetha Rugemalila(kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada katika Hospitali ya Mwananyamala leo, Katikati ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi na Mwenyekiti wa Klabu ya Bong

WEMA AMVISHA DIAMOND WIGI,CHEKI PICHA HAPA

Image
Picha ame-post Wema Sepetu na kwa maoni yake anasema wigi hilo limempendeza Diamond...

JAMAA AUA MCHUMBA WAKE NA KUMZIKA PORINI,FISI WAFUKUA KABURI,MBWA WALA KICHWA CHA MAREHEMU

Image
Watu wawili wamekufa katika matukio tofauti wilayani Bunda, mkoani Mara, akiwemo mwanamke mmoja aliyeuawa na mchumba wake na kufukia mwili wake porini na kisha fisi kufukua kaburi hilo na kichwa chake kuonekana mitaani kikiliwa na mbwa. Tukio hilo la kikatili lililothibitishwa na polisi, limetokea Machi 22 mwaka huu, majira ya saa 3:00 asubuhi katika kijiji cha kiroreli wilayani Bunda. Mwanamke aliyeuawa na mchumba wake ametambuliwa kwa jina la Wambura Magonze, mkazi wa kijiji cha Kiroreli. Polisi wamesema kuwa baada ya kupata taarifa ya tukio hilo walikwenda katika eneo la tukio wakiongozana na mkuu wa upelelezi wilayani hapa, Munguwajuna, na kukuta mbwa mitaani wakila kichwa cha marehemu huyo.   Imeelezwa kuwa mwaume huyo baada ya kumuua mchumba wake kwa kipigo, wakiwa wanatoka shambani aliuzika mwili wake porini katika kaburi lenye urefu wa futi moja. Aidha, imeelezwa ku

ZIJUE DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKIA KILELENI

Image
!!! Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaum e kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha. ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI: 1. Dalili ya kwanza inayomuashiria m

Queen Mlozi ashiriki operasheni ya kuondoa mawe makubwa yaliyokuwa yakitumiwa kuteka magari barabara kuu ya Singida-Dodoma

Image
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi akipasua jiwe kubwa ili liweze kupandishwa kwenye lori kwa lengo kuondolewa kando kando ya barabara kuu ya Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida. Mawe hayo makubwa kwa kipindi kirefu yametumiwa na watu wanaodhaniwa ni majamabazi watekaji wa malori na kupora mali na fedha. Mkazi wa kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida, Juma akipasua jiwe kubwa lililokuwa likitumiwa na majambazi kwa ajili ya kuteka magari na kisha kupora abiria.   Askari Polisi, Jeshi na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida,wakipandisha jiwe kubwa kwenye lori. Zoezi hilo la kuondoa mawe makubwa kando kando ya barabara kuu ya Singida yaliyokuwa yakitumiwa na watu wanaodhaniwa ni majambazi katika kuteka magari na kupora abiria. Mawe hayo mwishoni mwa mwaka jana yalitumika kuteka gari la chuo cha SUA Morogoro na kisha maiti ndani ya sanduku.