Posts

Showing posts from November 3, 2013

KURASA ZA MBELE ZA MAGAETI YA LEO TAREHE 03/11/2013-jumapili

Image

CHELSEA YAFUMULIWA 2-0 NA NEWCASTLE, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0 ENGLAND

Image
Mourinho akimpongeza kocha wa Newcastle baada ya mechi MABAO ya Yoan Gouffran na Loic Remy yameipa Newcastle ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea katika Ligi Kuu ya England leo, huku Manchester City ikiifumua Norwich 7-0. Gouffran alifunga bao lake dakika ya 68 na Remy akafunga dakika ya 89 katika mchezo huo ambao timu ya Jose Mourinho ilikamatwa kila idara. Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Terry, Luiz, Cole, Lampard/Schurrle dk70, Ramires, Oscar, Mata/Willian dk62, Hazard, Torres/Eto'o dk62Newcastle: (4-4-2): Krul 7; Debuchy 7, Williamson 6, Yanga-Mbiwa 6, Santon 6; Sissoko 8, Cabaye 7, Tiote 6 (Anita 53, 7), Gouffran 7 (Obertan 84); Shola Ameobi 5 (Cisse 62, 6), Remy 7. Newcastle: Krul, Debuchy, Williamson, Yanga-Mbiwa, Santon, Sissoko, Cabaye, Tiote/Anita dk53, Gouffran/Obertan dk84, Shola Ameobi/Cisse dk62 na Remy.  Nayo Manchester City imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo mwingine wa ligi hiyo. Mabao ya City yamefungwa na

WANAWAKE WAJASIRIAMALI WAASWA KUZINGATIA UBORA WA BIDHAA WANAZOZALISHA

Image
Mama Tunu Pinda akikaribishwa kufunga maonyesho ya wiki ya Wakinamama Wajasiriamali na Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza wajasirimali wanawake Tanzania kutoka ILO, Noreen Toroka. kushoto kwa Mama Pinda ni Mwenyekiti wa MOWE, Bi Elihaika Mrema na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifunga rasmi Maonyesho ya Wanawake Wajasirimali (MOWE) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, maonyesho hayo ya wanawake wajasiriamali yalikuwa ya wiki nzima ambapo wakinamama wanapata nafasi ya kuonyesha na kuuza bidhaa mbalimbali Usindikaji, Mvinyo, Batiki kwa wakazi wa jijini. Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza Ujasiriamali kwa wanawake Tanzania toka Shirika la Kazi Duniani (ILO) Noreen Toroka akizungumza wakati hafla ya kufunga maonyesho hayo ambapo amesema wiki nzima ilikuwa ni maonyesho wanawake toka sehemu mbalimbali nchini Bara na Visiwani wamepata wasaa wakubadilishana mawazo na mbinu za Kibiashara. Mwenyekiti wa Kamati ya MOWE, Mam

ANGALIA PICHA ZA BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA

Image
Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha. Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa.   NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER KWA MATUKIO ZAIDI

A little baby girl who was born with a rare genetic condition called Werewolf Syndrome

Image
  Mother's love: Savita Sambhaji Raut, 26, holds her 21-day-old baby daughter, who was born with a rare genetic condition called Werewolf Syndrome This little baby girl is the latest addition to the Werewolf family who have a rare genetic disorder which means they are covered in hair   Happy family: Werewolf Sisters, left to right, Savitri Sambhaji Raut, 17, Savita Sambhaji Raut, 26, Laxmi Sambhaji Raut, 15, and Manisha Sambhaji Raut, 19, gather around newborn baby, foreground   Unconditional love: Anita Sambhaji Raut, 45, mother of the werewolf sisters holds on to her grand daughter who is also born with lots of hair on her body Snooze: Fast asleep, the 22-day-old Werewolf baby girl, who is yet to be named by her parents, catches some shuteye at her home in Maharashtra, India Covered head to toe in hair, this newborn baby is the latest addition to the aptly named Werewolf family.   The 22-day-old baby inherited a rare gene carried in her

10 SUPER FAMOUS WOMEN WHO DOMINATED IN AFRICAN FILM INDUSTRY 2013

Image
They are dominating the African film industry, they are super famous in their respective movie industries and always in the media. They are talented, beautiful and sexy and if not all most of them are comfortable in their natural African beauty. We love them onscreen we love them off-screenthe top 10 most beautiful and sexiest African actresses in 2013, remember that the list is not in order. 1. Elizabeth Michael Lulu(18) Lulu is sexy and she knows it, she is confident with her natural beauty that is why we have seen this diva many times with no wigs or weaving, may be because she grew up onscreen. She is talented and very popular in the Tanzanian Swahili movie industry.   2.Omotola Jalade(35).  The mother of four children is already known as Omosexy, she is very popular in Nollywood. She is an ageless beauty. 3.Jackie Appiah(29) Born in Canada but got huge popularity in the Ghananian movie industry, Jackie is sexy and talented. She has appeared in man

HUYU HAPA MSANII ANAYEDAI KUTUMIWA NA WANAUME WENGI PASIPO MALIPO.

Image
Msanii Aunt Lulu ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga Bongo C2C amenukuliwa katika Moja ya Interview aliyofanya na chombo kimoja cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata faida. Kauli ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa anakuwa amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao. Baada ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi wa Habari kupitia Mitandao ya kijamii Sinta amefunguka na kumtolea uvivu msanii huyo anedai kuwa ameriwa uroda kwa miaka mingi pasipo kupata malipo yoyote. “Hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi” ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wa

Serikali yapingwa kwa kubadili mfumo wa matokeo ya sekondari kwa madai kuwa itaongeza zao la WAJINGA na VILAZA

Image
SIKU moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kufanya marekebisho katika upangaji wa viwango vya alama za matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne na sita kwa kufutwa daraja sifuri na kuwekwa daraja la tano, wadau na wasomi wameponda mfumo huo. Wakizungumza na waandishi wetu, wadau hao walisema kuwa tatizo si kushuka kwa kiwango cha ufaulu, bali uwepo wa elimu bora nchini. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, alisema kuna mifumo miwili ya elimu nchini inayotumika, ambayo ni ule wa watu masikini na wenye nafuu ya maisha. Alisema hali hiyo inaanzia chekechea hadi vyuo vikuu, huku akihoji wizara husika mfumo wa aina hiyo unamlenga nani, kwamba tatizo lililopo ni ubora wa elimu hasa katika shule za umma. Bashiru alisema kwenye mifumo hiyo inayotumika, ule wa masikini upo kwenye shule nyingi za umma ambako ndiko kwenye watoto wengi wanaofeli kutokana na kukosa vifaa vya kufundishia, maabara na walimu. “