Posts

Showing posts from February 18, 2016

MKUU WA WILAYA AMBEBA MWANDISHI WA HABARI MGONGONI.

Image
Mkuu wa wilaya ya Iringa Kasesela akiwa amembeba mwandishi wa habari mgongoni.Ikiwa ni eneo la tukio la mafuriko yaliyotokea juzi mkoani humo. source:thechoice

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAKUNDI YALIYOSHIRIKI NAYE KWENYE KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015

Image
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.  Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.  Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WASANII IKULU

Image
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Majaliwa azungumza na wadau wa michezo nchini‏

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu michoro ya viwanja vya ndani vinavyotarajiwa kujengwa pembeni mwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kutoka wa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ( watatu kulshoto) na katibu Mkuu wake Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) wakati alipozungumza na wadau wa michezo kwenye uwanja wa taifa Februari 17, 2016.  Baadhi ya wapenzi na viongozi wa michezo nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wadau wa michezo nchini baada ya kuzungumza nao kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoj

BREAKING NEWS : PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAPA

Image
BOFYA HAPA AU BOFYA HAP A

WAZIRI KITWANGA AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI, AWATAKA WAPANGE MIKAKATI MIPYA YA KUPAMBANA NA WAHALIFU NCHINI

Image
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na Maafisa Wandamizi wa Jeshi la Polisi nchini kabla ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Jeshi hilo, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga aliwataka Maafisa hao kutoka Mikoa yote nchini kufanya kazi kwa kasi inayoandana na Serikali ya Awamu ya Tano, na pia wapange mikakati mipya ya kupambana na uhalifu nchini. Watatu kulia meza kuu ni Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akitoa hotuba yake kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi lake, kabla ya kumkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) kuzungumza na maafisa hao kutoka mikoa yote nchini na kuufungua Mkutano wao wa Mwaka unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga ka

SIMBA SPORT CLUB WAKUSOGEZEA KARIBU JEZI NA VIFAA VYA SIMBA MAHALI ULIPO

Image
Upatikanaji wa jezi na vifaa vya Simba wasogezwa karibu Klabu ya Simba leo imeanza rasmi utekelezaji wa kampeni yake ya uuzwaji wa jezi pamoja na vifaa mbalimbali venye chapa ya Simba, ikiwa na dhumuni la kukuza mapato kwa timu kwa kupitia wanachama na wadau wa Simba kununua bidhaa mbalimbali zenye chapa ya Simba, kupeleka huduma ya vifaa vinavyotolewa na duka rasmi la Simba karibu zaidi na wanachama na wapenzi wa Simba. Katika zoezi hili ambalo utaweza kununua jezi kwa Tsh. 15, 000/= ambapo yoyote atakaenunua atapata picha kubwa ya timu bure. Kwenye mechi na watani wa jadi wetu Yanga siku ya Jumamosi, kikosi cha Simba kitavaa jezi nyeupe ambazo zitakuwa zikipatikana kwenye duka la Simba linalotembea katika mitaa mbalimbali yaani Mobile Shop. Akizungumza na Simbasports.co.tz leo asubuhi wakati zoezi hili lilipoanza Rais wa Simba Evans Aveva alisema “ leo tunaanza rasmi zoezi letu la kutembea mtaa kwa mtaa kwenye kampeni yetu ya uuzwaji wa jezi pamoja na vifaa mbalimbali

MWILI WA MAREHEMU JOHN WALKER WAAGWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Image
Mbunge  wa Jimbo la Mbeya  Mjini  Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la  marehemu  Michael  Dennis Mhina 'John Walker'   Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis Dande)   Mbunge  wa Jimbo la Mbeya  Mjini  Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu  Michael  Dennis Mhina 'John Walker'   Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili.    Baadhi ya waombelezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu,   Michael  Dennis Mhina 'John  Walker' kwa ya kuusafirisha kwa maziko mkoani Tanga, Dar es Salaam.  Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,  Michael  Dennis Mhina 'John Walker'.   Wasanii wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Bongo Fleva marehemu John Walker. Wengi waishindwa kujizuia wakati wa kutoa heshima za mwi