Posts

Showing posts from July 22, 2015

Can a Long Distance Relationship Be Successful?

Image
Today ladies let’s talk about one of the Major ‘sore spots’ оf relationships. It’s the distance. I’m pretty sure everyone has experienced this kind of love. I mean not a romance or the short-term affair. I mean the R-E-L-A-T-I-O-N-S-H-I-P. It always happens accidentally. Admit no one has ever dreamed about far away love and then actually being loved hundreds and thousands of kilometers distant from your home. But life is tricky and frankly never lets us rest for too long! So I won’t even try to candy-coat it. I know most of you now are screaming: ‘There’s nothing to talk about, LDRs suck.’ Come on girls! But what should those lucky ones do who have recently met their match on the opposite side of the planet? I know the answer. They should follow this distant relationship survival guide. I promise it will raise your chances to succeed at it and dare I say, have some fun. Firstly be prepared your homies will advise you to take it easy and even skip it. Everyone will t

Sentensi nyingine 22 za Faiza Ally kuhusu mavazi yake, mtoto, dini, umaarufu.. anajuta? (Audio & Pichaz)

Image
Kama uko karibu na stori za TZ najua hautakuwa umesahau kuhusu ishu ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mzazi mwenzake, Faiza All y .. Mbunge huyo hakuridhishwa na mavazi ambayo mzazi mwenzake alionekana nayo sehemu mbalimbali akaipeleka ishu Mahakamani kwamba kutokana na mama wa mtoto anavyoonekana yeye haridhishwi mtoto kuendelea kulelewa na Faiza . Chanzo cha yote ilikuwa ni aina ya mavazi, leo kwenye show ya # Nirvana @EATV Faiza alikuwa kwenye Interview na ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake >>>>“ Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa ” Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? >>> “ Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya mtoto wangu… namlea kwa mazingira ya heshima, heshima na nguo ni vitu

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA EXIM NA TBEA, IKULU DAR ES SALAAM

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwakaribisha Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwa Ikulu jijini Dar esSalaam, kwa ajili ya mazungumzo. Picha zote na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya EXim, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Eng. Futakamba Mbogo (katikati) na Mshauri wa Kampuni ya TBEA, Skander Ettab, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, Mwakilishi Mkuu wa Kampuni ya Uandisi ya Kimataifa ya China, TBEA, Liu

RAIS JAKAYA KIKWETE AKABIDHIWA CHAKE LEO.

Image
Rais Jakaya Kikwete apokea hundi ya malipo ya Bima ya Maisha kutoka Shirika la Bima la Taifa Ikulu leo. 

EDWARD LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA

Image
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Ojuku Abraham SINTOFAHAMU! Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD sasa upo njia panda kuhusu ujio wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anayesemwa kutaka kutimka kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Dkt. Willibrord Slaa. Habari kutoka ndani ya vyama hivyo zinasema, tangu kukatwa kwa Lowassa katika kuwania kwake kuteuliwa kuwa mgombea urais, kumekuwa na shinikizo kubwa kutoka kwa watu mbalimbali, wanaotaka kada huyo wa chama tawala anayetajwa kuwa na wafuasi wengi ajiunge na Chadema, ili awanie nafasi hiyo kwa tiketi ya Ukawa. Prof. Ibrahim lipumba. “Kuna vikao vingi ndani ya vyama hivyo kiasi kwamba wameshindwa kumtaja mgombea wao ili kusubiri kwanza wajue hatima ya Lowassa. Inadaiwa kuwa Chadema imegawanyika, kwani baadhi ya vigogo wanamtaka kada huyo wa CCM na wengine wanapinga, CUF wanamtaka hata sasa hivi. Ninachoweza kukuambia ni kwamba ndani ya Ukawa, hali ni tete,

BVR 8,000 kuandikisha D'Salaam.

Image
NA ISAYA KISIMBILU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki. Uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR), jijini Dar es Salaam, unaanza kesho huku takriban mashine 8,000 zikitarajiwa kutumika kwa kazi hiyo. Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, ametoa onyo kali kwa maofisa waandikishaji watakaochelewa kufika na kuondoka kabla ya muda katika vituo vya uandikishaji. Sadiki ambaye alikuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, alisema uandikishwaji jijini humu utaanza kesho na kuhitimishwa Julai 31, mwaka huu. Alisema takribani wakazi milioni mbili wanatarajiwa kuandikishwa katika BVR na kwa wakazi wenye sifa takribani milioni mbili wa Jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Sadiki, vituo 1,684 vitatumika katika uandikishaji kwa Manispaa za Ilala (396), Temeke (572) na Kinondoni (706). Alisema Manispaa ya Kinondoni itakuwa na maofisa uandi

Gwajima asomewa mashitaka ya kumtukana Askofu Pengo.

Image
NA HELLEN MWANGO Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, jana alikana kutoa lugha ya matusi dhidi ya  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kwamba mtoto, hana akili na mpuuzi. Askofu Gwajima alikanusha tuhuma hizo wakati akisomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Joseph Maugo, alidai kuwa kati ya Machi 16 na 25, mwaka huu katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo Kawe jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alitoa lugha ya matusi kwamba ‘mimi Askofu Gwajima nasema askofu Pengo ni mpuuzi mmoja yule, mjinga mmoja, amekula nini yule, sijui amekula nini yule mtoto hana akili yule’ alinukuu maneno hayo. Alidai kuwa Askofu Gwajima alitoa maneno hayo yakufadhaisha dhidi ya Askofu

UCHAGUZI MWAKA HUU KAZI IPO! Miss Tanzania Aliyejiuzulu SITTI MTEMVU, dada’ke Hapatoshi Ubunge MOROGORO!

Image
Sitti Mtemvu. Dustan Shekidele, Morogoro HAPATOSHI! Vita kali ya kugombea ubunge imezuka katika familia ya Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu kufuatia watoto wake wawili, Lulu na Sitti Abbasi Mtemvu ambao kwa pamoja wamechukua fomu ya kugombea ubunge viti maalum kupitia kundi la umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Morogoro. Lulu Mtemvu. Watoto hao wazaliwa wa mkoani Morogoro waliochangia baba, kwa nyakati tofauti wiki iliyopita walitinga ofisi za UVCCM Mkoa na kuchukua fomu hizo kimyakimya. Mashuhuda wa tukio hilo walipenyeza ubuyu kuwa Lulu ndiye alikuwa wa kwanza kuchukua fomu hiyo na siku iliyofuata Sitti aliyeongozana na mama yake mzazi Mariam Mtemvu walitinga kwenye ofisi hizo na kuchukua fomu hiyo huku mama yake akibeba jukumu la kupiga picha za tukio hilo. Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Morogoro, lgnas Said Kinywa alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kudai kuwa kigezo kikuu cha nafasi hiyo ni kwa mwanachama kuwa na kadi na kutozidi umri wa miaka 30. Lulu anayeishi

MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 9 WA WAKE WA MARAIS KUHUSU KANSA HUKO NAIROBI

Image
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyetta huko Nairobi kuhudhuria mkutano wa 9 wa Wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia magonjwa ya saratani ya matiti, shingo ya kizazi na tezi dume tarehe 20.7.2015. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Niger Madame Dkt. Lalla Malika Issofou Mahammadou wakiwa kwenye sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 9 wa Wake wa Marais wa nchi za Afrika. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyetta (hayupo pichani) tarehe 20.7.2015. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na wake wa Marais kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wamesimama wakati wimbo waTaifa wa Kenya ukiimbwa. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiwa amesimama na baadhi ya wake wa Marais wa Afrika wakati wimbo wa Mataifa ya Afrika ukiimbwa. Kushoto kwa Rais Kenyatta ni Mkewe Mama Margret Kenyatta akifuatiwa na Mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingo