Posts

Showing posts from September 18, 2016

Fiesta Yawapagawisha Wabunge Na Mawaziri Dodoma

Image
  Mwanamuziki Vanessa na Jux wakitumbuiza kwenye tamasha hilo. Baadhi ya waheshimiwa wabunge waliohudhuria tamasha hilo akiwemo Profesa Maji Marefu (wa pili kulia), Venance Mwamoto (wa kwanza kulia) na William Ngeleja (katikati). Mheshimiwa Waziri Nape Nnauye akiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia na Waziri January Makamba. Kundi la weusi likitumbuiza jukwaani kwenye tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki wengi. Mwanamuziki Adam Mchomvu akitumbuiza mbele ya mashabiki lukuki ndani ya Uwanja wa Jamhuri. Mwanamuziki Belle 9 naye alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha hilo, usiku wa kuamkia leo. Mwanamuziki Darasa akitumbuiza mbele ya mashabiki. Mwanamuziki Darasa akitumbuiza mbele ya mashabiki. Baraka The Prince akitumbuiza usiku wa kuamkia leo. Sehemu ya umati mkubwa wa mashabiki waliohudhuria tamasha hilo kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, usiku wa kuamkia leo. Mwanamuziki Jux akionesha madoido ya kucheza na jukwaa na mpenzi wake ambaye pia ni mwanamuzik

RC Makonda Azindua Chama Cha Waendesha Bodaboda Na Bajaj Mkoa Wa Dar es Saalam

Image
Mkuu wa mkoa Paul Makonda akihutubia. Sehemu ya umati ya waendesha bodaboda waliojitokeza. Mmoja wa madereva aliyeshiriki zoezi hilo akiwa kwenye muonekano mpya. Mkuu wa Mkoa akiongozana na baadhi ya viongozi wa chama hicho. Sehemu ya umati waliohudhuria zoezi hilo. Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akivaa koti kama ishara kwa madereva wote ambao watapaswa kuvaa wawapo safarini. Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akijianda kuvaa Helmet. Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akiwa tayari kuvaa kofia nguvu ‘Helmet.’ Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akiwa katika muonekano mpya wa madereva wa bodaboda. Mkuu wa Mkoa akiongoza maandamano ya waendesha bodaboda yaliyoanzia viwanja vya Biafra na kuishia viwanja wa Leaders, Kinondoni. Kopro Rioba akieleza jambo kwenye uzinduzi huo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda, mapema leo amezindua Chama cha Waendesha Bodaboda na Bajaj kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Pia ameongoza maandamano ya waendesha bodaboda kuanzia viwanja vya Biafra hadi viwanja vya Leade

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA, AKABIDHIWA MSAADA WA DOLA LAKI MBILI UTOKA KWA RAIS MUSEVENI WA UGANDA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa fedha cha dola za Kimarekani laki mbili (USD 200,000) - takriban Tshs. 437,000,000/- taslimu uliotolewa na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa ajili ya kusaidia waathirika watetemeko la ardhi mkoani Kagera Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea msaada wa fedha cha dola laki mbili za Kimarekani (USD 200,000) -takriban Tshs. 437,000,000/- taslimu kutoka kwa Balozi wa Uganda hapa nchini Mhe. Doroth Samali Hyuha ( wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Elibariki Maleko. Msaada huo umetolewa na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa Tetemeko la ardhi mkoani Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma taarifa ya Tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais wa

MKUU WA WILAYA YA ILALA AONGOZA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUCHANGIA MAAFA YA TETEMEKO BUKOBA

Image
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema akipokea kiasi cha shilingi milioni zaidi ya milioni 6 kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa Kariakoo Bw. Deo Senya wakati Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) walipofanya Harambee ya kuchangia wahanga wa Tetemeko la Ardhi kule Bukoba mkoani Kagera ambapo Mkuu wa wilaya hiyo aliongoza harambee hiyo, Kuliani ni Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Bw. Edward Mpogolo na katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo Bw.Philimin Lomano Chonde. Katika harambee hiyo jumla ya shilingi milioni 13,708,000/= fedha taslimu zilikusanywa na vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 31564800/= jumla ya michango kwa ujumla ni shilingi milioni 45,672,800/= harambee hiyo leo ilikuwa inazinduliwa rasmi na michango inaendelea mpaka siku ya jumamosi ijayo ambapo ndiyo harambee hiyo itafungwa rasmi na wafanyabiashara mbalimbali wametakiwakuendelea kuchangia kwa kupitia jumuiya yao ya wafanyabiashara mpaka