Posts

Mzee Majuto atangaza kujitosa kugombea ubunge mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM

Image
Kwa mujibu wa mtandao wa Bongomovies, msanii mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Amri Athumani 'King Majuto' ametangaza kugombea ubunge katika jimbo la Tanga Mjini mwaka 2015 Majuto mwenye umri zaidi ya miaka 60 ametangaza nia yake hiyo alipohojiwa na Clouds na amedai kwamba atagombea kupitia CCM. Juhudi za kumtafuta mzee Majuto ili aweze kututhibitishia kama habari hizi ni za kweli au la na kama ni kweli ana mipango gani na jimbo hilo la Tanga mjini zinafanyika...

UDOM yashindwa kudahili wanafunzi wengi kutokana na wanafunzi hao kutokuwa na VIGEZO

Image
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimeshindwa kudahili wanafunzi wa kutosha kutokana na wahitimu kutokuwa na vigezo. Malengo ya kuanzishwa kwa chuo hicho ni kudahili wanafunzi 40,000 ifikapo mwaka 2015 lakini hadi sasa idadi ya wanafunzi waliopo hawazidi 15,000. Taarifa hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo hicho, Profesa Idris Kikula wakati wa uzinduzi wa baraza la pili la wafanyakazi la chuo hicho. Profesa Kikula alisema idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa chuoni hapo inaendelea kushuka siku hadi siku ikilinganishwa na nafasi zilizopo. "Changamoto zinazotukabili ni nyingi lakini za msingi ni idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa imendeelea kushuka mwaka hadi mwaka kutokana na ukosefu wa wahitimu wa kutosha wenye vigezo vya kudahiliwa katika kozi zetu. "Changamoto nyingine ni ufinyu wa bajeti unaotokana na vyanzo vichache vya mapato ya chuo na pia ufinyu wa ruzuku ya Serikali ndiyo vinakwamisha chuo kufikia malengo yake kama ilivyotara...

Hiki ni KILIO cha msanii DIAMOND baada ya kufanyiwa UMAFIA na Producer wake

Image
Hii ni kauli ya uchungu ya msanii Diamond ambaye analaani kitendo cha producer wake kuuvujisha wimbo wake mpya wa Nikifa Kesho: "Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote… Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… " Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi… .ila Kuvujisha Unajisumbua bure" – Diamond "Hisia zangu zapelekea kuandika haya nikiwa na uzuni ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi namwachia Mungu pia…. "Imani iliyo ndani yangu nikiamini kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka Upya, Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hivI karibuni"– Diamond "Hii ni changamoto kwangu na Kuweza kujua sheria za Muziki wangu na kusimamia Haki zangu'

Mwanamke anaswa akijichua kwa kutumia MAHINDI ( Mahindi chakula

Image
Uhaba wa wanaume umeendelea kuwa janga la kimataifa kwa akina dada ambao kiidadi ni wengi kuliko wanaume.. Mwezi wa sita mwaka huu, mtandao huu ulitupia video moja ya mwanamke wa kibongo akifanya mapenzi na chupa ya Coca cola baada ya kuhangaika kwa miaka mingi bila kumpata mwanaume wa kumfariji... Kana kwamba haitoshi, mwezi wa tisa mwaka huu, mtandao huu ulitupia habari moja ikionesha kundi la wanawake ( sio watanzania) ambao waliamua kuandamana ili kuishinikiza serikali yao iwasaidie WAOLEWE. Kwa matukio hayo machache, uhaba wa wanaume duniani umeendelea kuwatesa wanawake na kuwafanya wafanye maamuzi magumu likiwemo la huyu dada aliyeamua kufanya mapenzi na mahindi... Kwa mujibu wa mtu aliyetutumia picha hizi, mrembo huyu alikuwa shambani akivuna mahindi katika bustani yao ...Baada ya kuzidiwa, alijisogeza pembeni na kuanza kujiridhisha kwa kutumia mhindi ... ...

5th International African Festival Out Now!

Image
Africa festival Enie Susan Tatah, CEO of Afriactive and African International Festival,Tubingen 5th International African Festival Tübingen 17. – 20 July 2014 Tübingen will once again host the International Africa festival 2014. The 5th Edition will bring you the best in African diversity, culture, music from the continent and beyond. Save this date now, and join us in Tübingen for world-class performances, unbeatable atmosphere, meet and make new friends. We welcome you to the African Village in Tübingen - 4days non-stop, spice up your life and be amongst the thousands of people that will celebrate the 5th anniversay of Tübingen Africa Festival. Stay online for more details www.afrikafestival.net Call for Artist 2014 Are you interested in performing next year at the 5th International African Festival in Tübingen - Stuttgart south of Germany? Are you a band on tour, looking for festivals to promote and sell your CDS? Are you interested in supporting the aims and ob...

T.I.D amwaga MACHOZI baada ya KUPIGWA CHINI na demu Wake

Image
Sifa mojawapo ya Mwanaume jasiri ni kuwa na uwezo wa kukabiliana na GUMU lolote litakalokukabili katika maisha yako...Hapa namzungumzia msanii TID ambaye yuko kitandani akiuguza maumivu ya kuachwa na demu wake Sote tunayajua maumivu ya mapenzi pindi unapoachwa na mtu flani umpendae, mtu ambaye ulimwamini na kukubali kumvulia nguo zako na kisha kumpa moyo wako... Pamoja na maumivu ya KUPIGWA KIBUTI na demu wake, TID amepiga moyo konde na kujitosa facebook kueleza kilichomsibu. “I am very sad to tell u guys that ……….am single again my girl just left me,” ameandika TID kwenye Facebook. Na ofcourse, mashabiki hawajamwacha peke yake. “There are plenty of fish in the sea, and you fish with dynamite ndugu wangu, hakuna matata, means she was not worth to stand next to you…,” ameandika mmoja na mwingine kumwambia, “I’m guessing there is going to be an awesome song of this sad

HOUSE GIRL (Mfanyakazi wa ndani ) akutwa AMEKUFA kisimani na huu ndo ujumbe Alioucha

Image
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Mwantumu Hassan (22) amekutwa amekufa ndani ya kisima, huku akiwa ameacha ujumbe wa "Mwantumu A Hassan najua kitakuwa kilio kwetu, mniombee nifike niendako mwisho wa kuishi duniani". Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, tukio hilo ni la juzi sa 3:00 usiku katika maeneo ya Mbezi Juu, Goba kwa Mloa. Alisema kwa mujibu wa mtoa taarifa Manara Kakwezi (28), mfanyakazi huyo wa ndani hakuonekana maeneo ya nyumbani kwa muda mrefu, jambo lililowatia wasiwasi na kuamua kuanza kumtafuta. “Walimkuta katika kisima cha maji safi ambayo ni kwa ajili ya matumizi ya kila siku akiwa ameshakufa,” alisema kamanda. Mara baada ya kufanya upekuzi katika vitu vyake ndipo ulikutwa ujumbe huo katika pochi yake. Uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha kifo chake, maiti imehifadhiwa hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi. Katika tukio jingine, mpanda minazi aliyetambuliwa kwa jina la Ally Ramadh...

Penny amwaga MACHOZI baada ya kusikia kuwa Diamond na Wema Sepetu wamerudiana kimya kimya

Image
ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Penny, mwanadada huyo amekuwa akikosa amani kila anaposikia habari za Wema kurudiana na Diamond hivyo kuwa katika wakati mgumu. “Watu wanapomwambia au kumuuliza Penny habari za Diamond kurudiana na Wema amekuwa akiumia sema tu watu hawajui,” kilisema chanzo hicho. Hata hivyo, baada ya taarifa hizo kuwa habari ya mjini, mwishoni mwa wiki iliyopita, Penny alifunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anachokifanya ni kuhakikisha anamshikilia staa huyo wa Bongo Fleva hadi hapo Mungu atakapoamua vingine. “Katika uhusiano niliowahi kuwa nao huu ni mgumu mno,” ilisomeka sehemu ya utetezi wa Penny aliouandika juu ya penzi lake na Diamond. Hakuishia hapo...

Vijana 11 wakamatwa wakipewa mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CD za Al Shabaab

Image
Na Abdallah Bakari, Mtwara — POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CDs za al-Shabaab. Tukio hilo la aina yake limetokea katika mlima Makolionga wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa ambapo pia CDs zenye mafunzo mbalimbali ya kijeshi 25 zimekamatwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen ameuambia “mtandao wa Kusini Leo” kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wiki moja iliyopita baada ya jeshi lake kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema : “CD hizo zilikuwa zinatoa mafunzo ya Al-Shabaab ya kuchinja watu, Mauaji wa Osama Bin Laden, Zindukeni Zanzibar, Kuandaa Majeshi, Mauaji ya Idd Amin na Mogadishu Sniper,” alisema Stephen. Alisema watuhumiwa wote ni wakazi wa wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa na kwamba walikuwa wakiongozwa na Mohamed Makande 39, mkazi wa kijiji cha Sengenya ambaye pia anashikiliwa na jeshi hilo. Aliwataja wengine waliokamatwa kuwani Hassan Omary (39) mkazi wa kijiji cha Nanyulu,...

AIBU: Video ya akina mama wa kitanzania wakicheza uchi ndani ya ukumbi wa kitchen part yavuja mtandaoni

Image
Wanawake kadhaa wa kibongo ambao mpekuzi wetu hajafanikiwa kuwatambua majina yao wamenaswa live ndani ya ukumbi wakicheza uchi kwa kisingizio cha Kumfunda mwana mwali.. Katika video hiyo chafu, akina mama hao wanaonekana wakianza mchezo wao huku wakiwa wamevaa kawaida... Baada ya dakika moja mbeleni, video hiyo inawaonesha akina mama hao wakisaula nguo moja moja mpaka walipobaki uchi wa mnyama na kisha kuendelea kucheza bila aibu.. Bofya hapo chini ujionee.. <<BOFYA HAPA KUJIONEA>>

Mwanafunzi wa darasa la 3 auawa na baba wa kambo kwa kupigwa

Image
Mtoto Baraka Deogratias mwenye umri wa miaka tisa ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kitunda jijini Dar es Salaam,amedaiwa kuuawa na baba yake wa kambo baada ya kumpiga kwa kosa la kutosahishiwa baadhi ya madaftari yake ya shule na kusababisha mtoto huyo kupoteza maisha. ITV ilifika nyumbani kwao marehemu Baraka Deogratias ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kitunda,na kukuta ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika msiba huo,ambapo mama mzazi wa marehemu Baraka Bi Veronica Jeremiah amesema siku ya Jumamosi ya tarehe 5 Octoba 2013 saa 2 usiku mume wake bwana Masaka Limbu alifika nyumbani na kuanza kukagua madaftari ya watoto wawili ambao ni Pita masaka ambaye ni mtoto halali wa mtuhumiwa na Baraka Deogratias ambaye ni mtoto wa kambo ... Wakiwa chumbani na baba yao alisikia kilio cha mtoto wake ambaye hakuzaliwa na mume huyo akilia kwa uchungu lakini alipofika alikuta hajiwezi na alipomkimbiza katika zahanati...

Huddah ajifanya MBWA na kupiga picha za UCHI akiwa katika mapozi ya MBWA

Image
Ulimbukeni na stress za maisha zimeendelea kumtafuna msanii Huddah kiasi cha kufikia hatua ya kuukosea heshima mwili wake kila kukicha.... Siku chache zilizopita, mrembo huyu alitupia picha ya tako lake huku mkono wake wa kulia ukiwa umewekwa ndani ya haja yake kubwa.... Kana kwamba haikutosha, mrembo huyu ameamua kujifanya mbwa baada ya kukaa pozi la mbwa akiwa uchi kitandani na kisha kuitupia picha hiyo mtandaoni huku akiwataka watu waseme kama ni mzuri au mbaya. Bofya hapo chini kujionea vituko vya mastaa. << BOFYA HAPA UJIONEE>> TOA MAONI YAKO NA USISAHAU KULIKE PAGE YATEU YA FACEBOOK

Mlimani City yaanza KUWASACHI watu wanaoingia ndani baada ya taarifa kuzagaa kwamba lile GAIDI la kike liko Dar limejificha

Image
phars Katika hali tofauti waliyokutana nayo wanunuzi wa bidhaa kutoka kwenye maduka mbalimbali yaliyopo kwenye mall ya Mlimani city, wengi wameona ni hatua nzuri baada ya kuongeza usalama wa watu wanaotumia jengo hilo hasa kutokana na mambo yaliyotokea huko Kenya. Tofauti na jana, leo hii jumapili 6/10, wateja wote waliokuwa wanaingia kwenye mall hiyo walikuwa wanasachiwa na mashine maalum pamoja na mabegi yao. Mdau wetu alifika kwenye mall hiyo kwa manunuzi ya kawaida na alikuta askari wanaohusika na ulizi wakiwa wametengenisha njia mbili, moja ya kutoka na nyingine ya kuingia kwenye kila mlango wa kuigia kwenye mall. Askari wawili mmoja wa kike kwa ajili ya wateja wa kike na mwingine wa kiume pamoja na askari wa tatu kwa ajili ya kusachi mabegi. Baadhi ya watu walionekana kufurahia hatua hiyo ambapo siku kadhaa zilizopita, watu wengi walianza kujiuliza maswali juu ya usalama wa watu wanaongia kwenye mall hiyo kwa ajili ya manunuzi yao ya kila siku.

Msanii Diamond azungumzia kuhusu kifo chake katika ngoma yake mpya...Wadau wake watabiri Siku zake za mwisho

Image
Diamond ametumia melody inayofanana kidogo na wimbo wake “Kesho” kutengeneza wimbo huu. Ni wimbo ambao umevuta hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wake hasa wale wanaoamini kwamba mafanikio yake yanatokana na nguvu za pembeni ( freemason ) .. Wapo wanaojaribu kutabiri siku za mwisho za msanii huyu kwa kulinganisha na kifa cha utata cha msanii Kanumba ambaye naye alitoa wimbo kama huu pamoja na filamu ya kifo chake siku chache kabla ya mauti kumkuta... Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo: Vipi Maneke atanililia...?? Je wasanii wenzangu wataniimbia..?? Ama litafutika jina langu...?? Na nyimbo zangu hawatasikia..?? Vipi wasafi watanililia....?? Je ndugu rafiki watahudhuria..?? Ama nitakapokufa Sina changu..?? Hata mama yangu watamkimbia...??

wanafunzi takriban 50 wanusurika katika ajali jijini dar es salaam jana jioni

Image
Askari wa usalama barabarani wakijipanga kutoa huduma baada ya basi la daladala lililokuwa limebeba wanafunzi takriban 50 wa shule ya msingi ya Mgulani kugongana na gari dogo aina ya RAV 4 na kupinduka katika makutano ya Kenyatta Avenue na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam jana jioni. Dereva wa gari dogo akiwa na mtoto wa umri wa takriban miaka mitatu walijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali. Wanafunzi wote walinusurika. Uharibifu wa miundumbinu baada ya ajali hiyo Askari wa usalama barabarani wakiondoa mabegi ya wanafunzi hao ambao walitafutiwa basi lingine kuwapeleka hospitali kwa uchunguzi zaidi Wanafunzi wakiwa katika gari walilotafutiwa baada ya ajali hiyo Magari ya break-down yakifanya juhudi ya kunyanyua basi hilo Baadhi ya wanafunzi hao baada ya ajali. Ishukuriwe hakuna aliyeumia   KAMA UMEGUSWA TOA POLE KWA KUSEMA "AMEN " KISHA LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK

Irene Uwoya apewa matusi ya nguoni baada ya kuweka picha ya mtoto wake AKINYWA BIA

Image
Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo atukanwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake . Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata . Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa .....anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto. …cio malezi ata kama ameshika au kunywa kabisa. b a good mother. Alicomment shabiki mmoja

Rais Kikwete na Tundu Lissu wavaana...Tundu Lissu aiponda hotuba yake ya "NIMEAMBIWA"...Kikwete adai Lissu ni MNAFIKI

Image
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kukasirishwa na kauli ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu, kuwa Rais hakuheshimu mapendekezo ya TEC, CCT na walemavu huku akisema kwamba maneno ya Mbunge huyo niya uzushi na uongo mtupu, nanin ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. Mbunge huyo ameibuka na kumjibu Rais Kikwete. Nanukuu sehemu fupi ya hotuba ya Rais: "Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. "Nasema hivyo kwa sababu, sipendi kuamini kuwa Mheshimiwa Mbunge amesema yale kwa kutokufahamu ukweli au kwa bahati mbaya. "Amesema yale kwa makusudi mazima ya kupotosha ukweli ili pengine isaidie kujenga hoja yake ya kutaka Rais asiteue wale Wajumbe 166 wa Bunge Maalum" Rais Kikwete alisema hayo wakati akihutubia Taifa, kama ilivyo kawaida yake kila mwisho wa mwezi.Katika hotuba yake, JK alisema suala la Mchakato wa mabadiliko ya Kati...

Tahadhari: Yule gaidi wa kike aliyevamia Kenya anadaiwa kujificha jijini Dar es Salam

Image
MWANAMKE wa nchini Uingereza, Samantha Lewthwaite, anayetuhumiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi nchini Kenya hivi karibuni, anadaiwa kujificha hapa nchini, RAI Jumapili linaripoti. Taarifa za Samantha kujificha nchini zimeripotiwa kwa mara ya kwanza jana na gazeti moja kubwa linaloheshimika nchini Uingereza la Daily Mail. Daily Mail katika taarifa yake hiyo limeandika kuwa Samantha, ambaye kwa sasa anasakwa na vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote, huenda akawa amejificha Tanzania au Somalia, baada ya shambulizi la Westgate Mall. Taarifa hiyo ya Daily Mail imekuja ikiwa ni siku chache tu kupita tangu gazeti moja la hapa nchini (Siyo RAI) kuchapisha habari ya uvumi wa mwanamke aliyesadikiwa kuwa ni Samantha kuonekana katika viunga vya Jiji la Dar es Salaam. Katika habari hiyo ambayo ilithibitishwa na polisi, ni kwamba mwanamke huyo, ambaye ni mzungu aliyefananishwa na Samantha, alifika katika benki ya Exim tawi la Tower jijini Dar es Salaam kwa lengo la k...

Shilole ataja sababu zinazomfanya acheze NUSU UCHI jukwaani na kukubali kunyonywa maziwa yake

Image
Msanii wa filamu na muziki nchini, Shilole amefunguka kwa kusema anafanya muziki wa kucheza na wanaume jukwaani ili kukidhi mahitaji ya aina ya burudani wanayoihitaji watu wake. Akizungumza na Bongo5 leo akiwa Moshi, Shilole amesema anafanya muziki kulingana na mahitaji ya mashabiki wake na si kwa kusikiliza mawazo ya mtu mmoja mmoja yasiyokuwa na manufaa kwenye muziki wake. “Nafanya muziki anaofanya Shilole peke yake,na wapenzi wengi wa muziki wangu wanafurahishwa na kitendo cha kuwapandisha vijana na kucheza nao, hii inaleta mzuka kwangu na kwa wapenzi wa burudani,” amesema. “Ninavyowapandisha vijana na kucheza nao huku wamenishika au tumeshikana ndio wanaona hatari? Mbona ni mambo ambayo yanafanyika kwenye show mbalimbali, pia ili kuleta uhalisia wa show ni lazima mshikane kidogo,kwa wale ambao wanaona kama naharibu ni washamba tu.”

Picha za Serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa majengo mjini moshi

Image
Msanii mkongwe katika anga ya muziki wa kizazi kipya,Dully Sykes akiwaimbisha mashabiki wake kibao waliofurika vilivyo ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi Kundi la Weusi likiongozwa na Joe Makini wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la serengeti fiesta uwanja wa Majengo mjini Moshi. Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,Menina akiimba kwa hisia jukwaani Mkali mwingine wa bongofleva anaefanya vyema kwenye muziki huo,akitambulika kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake kwenye wakati wa tamasha la serengeti fiesta. Mwanadada Linah akimpagawisha shabiki wake vilivyo jukwaani ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi. Mkali wa shindano la BSS,Walter Chilambo akiimba kwa hisia jukwaani kwenye tamasha la serengeti fiesta ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye amekuwa akifanya vyema tangu aibuliwe na Serenge...