Irene Uwoya apewa matusi ya nguoni baada ya kuweka picha ya mtoto wake AKINYWA BIA



Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo atukanwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake .

Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata .
Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa .....anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto.

…cio malezi ata kama ameshika au kunywa kabisa. b a good mother.Alicomment shabiki mmoja

Comments

Popular posts from this blog