Posts

Mlimani City yaanza KUWASACHI watu wanaoingia ndani baada ya taarifa kuzagaa kwamba lile GAIDI la kike liko Dar limejificha

Image
phars Katika hali tofauti waliyokutana nayo wanunuzi wa bidhaa kutoka kwenye maduka mbalimbali yaliyopo kwenye mall ya Mlimani city, wengi wameona ni hatua nzuri baada ya kuongeza usalama wa watu wanaotumia jengo hilo hasa kutokana na mambo yaliyotokea huko Kenya. Tofauti na jana, leo hii jumapili 6/10, wateja wote waliokuwa wanaingia kwenye mall hiyo walikuwa wanasachiwa na mashine maalum pamoja na mabegi yao. Mdau wetu alifika kwenye mall hiyo kwa manunuzi ya kawaida na alikuta askari wanaohusika na ulizi wakiwa wametengenisha njia mbili, moja ya kutoka na nyingine ya kuingia kwenye kila mlango wa kuigia kwenye mall. Askari wawili mmoja wa kike kwa ajili ya wateja wa kike na mwingine wa kiume pamoja na askari wa tatu kwa ajili ya kusachi mabegi. Baadhi ya watu walionekana kufurahia hatua hiyo ambapo siku kadhaa zilizopita, watu wengi walianza kujiuliza maswali juu ya usalama wa watu wanaongia kwenye mall hiyo kwa ajili ya manunuzi yao ya kila siku.

Msanii Diamond azungumzia kuhusu kifo chake katika ngoma yake mpya...Wadau wake watabiri Siku zake za mwisho

Image
Diamond ametumia melody inayofanana kidogo na wimbo wake “Kesho” kutengeneza wimbo huu. Ni wimbo ambao umevuta hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wake hasa wale wanaoamini kwamba mafanikio yake yanatokana na nguvu za pembeni ( freemason ) .. Wapo wanaojaribu kutabiri siku za mwisho za msanii huyu kwa kulinganisha na kifa cha utata cha msanii Kanumba ambaye naye alitoa wimbo kama huu pamoja na filamu ya kifo chake siku chache kabla ya mauti kumkuta... Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo: Vipi Maneke atanililia...?? Je wasanii wenzangu wataniimbia..?? Ama litafutika jina langu...?? Na nyimbo zangu hawatasikia..?? Vipi wasafi watanililia....?? Je ndugu rafiki watahudhuria..?? Ama nitakapokufa Sina changu..?? Hata mama yangu watamkimbia...??

wanafunzi takriban 50 wanusurika katika ajali jijini dar es salaam jana jioni

Image
Askari wa usalama barabarani wakijipanga kutoa huduma baada ya basi la daladala lililokuwa limebeba wanafunzi takriban 50 wa shule ya msingi ya Mgulani kugongana na gari dogo aina ya RAV 4 na kupinduka katika makutano ya Kenyatta Avenue na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam jana jioni. Dereva wa gari dogo akiwa na mtoto wa umri wa takriban miaka mitatu walijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali. Wanafunzi wote walinusurika. Uharibifu wa miundumbinu baada ya ajali hiyo Askari wa usalama barabarani wakiondoa mabegi ya wanafunzi hao ambao walitafutiwa basi lingine kuwapeleka hospitali kwa uchunguzi zaidi Wanafunzi wakiwa katika gari walilotafutiwa baada ya ajali hiyo Magari ya break-down yakifanya juhudi ya kunyanyua basi hilo Baadhi ya wanafunzi hao baada ya ajali. Ishukuriwe hakuna aliyeumia   KAMA UMEGUSWA TOA POLE KWA KUSEMA "AMEN " KISHA LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK

Irene Uwoya apewa matusi ya nguoni baada ya kuweka picha ya mtoto wake AKINYWA BIA

Image
Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo atukanwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake . Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata . Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa .....anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto. …cio malezi ata kama ameshika au kunywa kabisa. b a good mother. Alicomment shabiki mmoja

Rais Kikwete na Tundu Lissu wavaana...Tundu Lissu aiponda hotuba yake ya "NIMEAMBIWA"...Kikwete adai Lissu ni MNAFIKI

Image
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kukasirishwa na kauli ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu, kuwa Rais hakuheshimu mapendekezo ya TEC, CCT na walemavu huku akisema kwamba maneno ya Mbunge huyo niya uzushi na uongo mtupu, nanin ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. Mbunge huyo ameibuka na kumjibu Rais Kikwete. Nanukuu sehemu fupi ya hotuba ya Rais: "Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. "Nasema hivyo kwa sababu, sipendi kuamini kuwa Mheshimiwa Mbunge amesema yale kwa kutokufahamu ukweli au kwa bahati mbaya. "Amesema yale kwa makusudi mazima ya kupotosha ukweli ili pengine isaidie kujenga hoja yake ya kutaka Rais asiteue wale Wajumbe 166 wa Bunge Maalum" Rais Kikwete alisema hayo wakati akihutubia Taifa, kama ilivyo kawaida yake kila mwisho wa mwezi.Katika hotuba yake, JK alisema suala la Mchakato wa mabadiliko ya Kati

Tahadhari: Yule gaidi wa kike aliyevamia Kenya anadaiwa kujificha jijini Dar es Salam

Image
MWANAMKE wa nchini Uingereza, Samantha Lewthwaite, anayetuhumiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi nchini Kenya hivi karibuni, anadaiwa kujificha hapa nchini, RAI Jumapili linaripoti. Taarifa za Samantha kujificha nchini zimeripotiwa kwa mara ya kwanza jana na gazeti moja kubwa linaloheshimika nchini Uingereza la Daily Mail. Daily Mail katika taarifa yake hiyo limeandika kuwa Samantha, ambaye kwa sasa anasakwa na vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote, huenda akawa amejificha Tanzania au Somalia, baada ya shambulizi la Westgate Mall. Taarifa hiyo ya Daily Mail imekuja ikiwa ni siku chache tu kupita tangu gazeti moja la hapa nchini (Siyo RAI) kuchapisha habari ya uvumi wa mwanamke aliyesadikiwa kuwa ni Samantha kuonekana katika viunga vya Jiji la Dar es Salaam. Katika habari hiyo ambayo ilithibitishwa na polisi, ni kwamba mwanamke huyo, ambaye ni mzungu aliyefananishwa na Samantha, alifika katika benki ya Exim tawi la Tower jijini Dar es Salaam kwa lengo la k

Shilole ataja sababu zinazomfanya acheze NUSU UCHI jukwaani na kukubali kunyonywa maziwa yake

Image
Msanii wa filamu na muziki nchini, Shilole amefunguka kwa kusema anafanya muziki wa kucheza na wanaume jukwaani ili kukidhi mahitaji ya aina ya burudani wanayoihitaji watu wake. Akizungumza na Bongo5 leo akiwa Moshi, Shilole amesema anafanya muziki kulingana na mahitaji ya mashabiki wake na si kwa kusikiliza mawazo ya mtu mmoja mmoja yasiyokuwa na manufaa kwenye muziki wake. “Nafanya muziki anaofanya Shilole peke yake,na wapenzi wengi wa muziki wangu wanafurahishwa na kitendo cha kuwapandisha vijana na kucheza nao, hii inaleta mzuka kwangu na kwa wapenzi wa burudani,” amesema. “Ninavyowapandisha vijana na kucheza nao huku wamenishika au tumeshikana ndio wanaona hatari? Mbona ni mambo ambayo yanafanyika kwenye show mbalimbali, pia ili kuleta uhalisia wa show ni lazima mshikane kidogo,kwa wale ambao wanaona kama naharibu ni washamba tu.”

Picha za Serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa majengo mjini moshi

Image
Msanii mkongwe katika anga ya muziki wa kizazi kipya,Dully Sykes akiwaimbisha mashabiki wake kibao waliofurika vilivyo ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi Kundi la Weusi likiongozwa na Joe Makini wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la serengeti fiesta uwanja wa Majengo mjini Moshi. Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,Menina akiimba kwa hisia jukwaani Mkali mwingine wa bongofleva anaefanya vyema kwenye muziki huo,akitambulika kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake kwenye wakati wa tamasha la serengeti fiesta. Mwanadada Linah akimpagawisha shabiki wake vilivyo jukwaani ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi. Mkali wa shindano la BSS,Walter Chilambo akiimba kwa hisia jukwaani kwenye tamasha la serengeti fiesta ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye amekuwa akifanya vyema tangu aibuliwe na Serenge

Maiti ya mtoto yachunwa ngozi masaaa machache kabla ya kuzikwa

Image
MAMIA ya wananchi mjini Bunda, wamefurika kushuhudia mwili wa mtoto wa miezi 10 aliyefariki kwa ugonjwa wa malaria na baadaye watu wasiofahamika kuchuna ngozi ya kichwa chake. Tukio hilo ambalo limehusishwa na imani za ushirikiana, lilitokea usiku wa kuamkia juzi katika mtaa wa Nyasura ‘B’ Tarafa ya Serengeti katika mamlaka ya mji mdogo wa Bunda, wilayani hapa. Ofisa tarafa, Justine Rukaka, alisema kuwa mtoto huyo alifariki usiku katika hospitali ya wilaya ya Bunda, baada ya kuugua malaria na mwili wake ukapelekwa nyumbani kwao kwa ajili ya mazishi. Rukaka alisema kuwa kesho yake asubuhi wakati wananchi wanaandaa shughuli za mazishi, walishangaa kuona ngozi ya kichwa chake ikiwa imechunwa na watu wasiofahamika. “Wakati shughuli za mazishi zinaandaliwa ndipo walipogundua kuwa ngozi ya kichwa chake imechunwa kwa kile kinachodaiwa kwamba ni imani za ushirikina,” alisema. Aliongeza kuwa kufuatia hali hiyo, wazazi wa mtoto huyo, wanafam

RIHANNA FULLL MIBANGI UFUKWENI

Image
Rihanna Aka Riri a Bad Girl Ameonakena akiwa Mapumziko huko Thailand akijinafasi beach mbali mbali huku kama kawaida yake akijiliwaza na Mjani aka Bangi...Hii sio mara ya kwanza kwa yeye kuonekana akivuta Bangi ...

HUU NI MUONEKANO WA STUDIO MPYA ANAYOIMILIKI PROF. JAY

Image
Mwanalizombe Studios Ni Recording Lebel Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio ipo msasani na Ameamua kuipa Jina la Mwanalizomba kwasababu Jay Ni mtu wa Ruvuma na Mwanalizombe maana yake ni Mwana Ruvuma na kufanya hivyo ameonyesha mapenzi ya mkoa wake wa Ruvuma. Producer kwenye studio hii ni Duke Touchez. Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi gani cha fedha kwenye studio hio ila fahamu kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati tofauti na ni vifaa vya hali ya juu sana. source: Sammisago.com

MWANAFUNZI WA MIAKA 13 AJIFUNGUA MTOTO WA MIEZI 6 AKIWA SEBULENI BILA KUJIJUA....

Image
  MSICHANA aliyejitambulisha kwa jina la Salma Hemedi (13) mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ubungo Plaza, Dar amejifungua maiti ya kichanga cha miezi 6 bila mwenyewe kujijua. Tukio hilo lilitokea Septemba 25, mwaka huu maeneo ya Ubungo National Housing jijini Dar ambapo asubuhi ya siku hiyo, Salma alilalamikia maumivu ya tumbo lake kiasi cha mama yake aliyejitambulisha kwa jina la Rahma Shabani kwenda kuomba msaada wa kitabibu. Mwanamke huyo alieleza kwamba baada ya kurudi ndani alikomuacha mwanaye, alimkuta akiwa amejifungua kichanga sebuleni, kitu ambacho hakukitarajia kwa kuwa alizoea kumnunulia vifaa vya kujisitiri wakati wa hedhi kila alipomlalamikia maumivu ya tumbo akijua yupo kwenye siku zake. Akiwa na manesi walioongozana naye, walimsaidia Salma huku kila mtu akiwa amepigwa na butwaa kwa kilichotokea kwani hakuna aliyekuwa anajua kama Salma alikuwa na ujauzito. Akiongea na waandishi wetu, Salma alisema alipewa ujauzito na mwanaume aliyemtaja kwa jina

KABURI LA MTOTO ALIYEFUFUKA LAFUKULIWA CHINI YA ULINZI MKALI...!! WAKUTA MAAJABU MATUPU KABURINI

Image
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida kaburi ambalo alizikwa mtoto Shabani Maulidi (15), ambaye anadaiwa kufariki dunia miaka mitatu iliyopita na kuonekana akiwa hai hivi karibuni, jana lilifukuliwa na viungo vya mwili wake kukutwa ndani. Kazi hiyo iliyofanyika chini ya ulinzi mkali wa polisi pamoja na Mtafiti wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Mkoa wa Mwanza, Lucas Ndungulu, ilizua taharuki kwa umati wa watu waliokuwa eneo hilo, baada ya nyumba ya jirani lilipo kaburi hilo, Masanja Marwa, kubomoka ghafla wakati ufukuaji huo ukiendelea, huku mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja naye akianguka na kuzirai. Kwa sasa mtoto huyo ambaye alionekana hai, amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Geita kwa uangalizi wa kitaalamu. Akizungumza na waandishi wa habari eneo la tukio, Ndungulu alisema kuwa wameamua kufukua kaburi hilo ili kupata sehemu ya viungo vya mwili kwa ajili ya vipimo. “Lengo la kufukua kaburi hili ni kutaka tupate kiungo chochote cha mw

Linah aeleza ukweli: Mafanikio yake yametokana na Kuhongwa

Image
Anasema yeye mwenyewe binafsi katika kazi zake za ujasiriamali mtaji wake ameupata kwa kuhongwa na mpenzi wake akachanganya na fedha yake na maisha yanakwenda. Anafafanua kuwa siku zote mpenzi wako hawezi kuacha kukuhonga kwakuwa kwenye mapenzi kusaidiana ni lazima,kwahiyo haoni ajabu yoyote mtu kuhongwa. "Kusema ukweli mimi mwenyewe boy friend wangu kanisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia,mimi sijali mtu aseme lolote analotaka lakini kama nahongwa for benefit sina tatizo na hilo"alisema Linah. Ameongeza kuwa tatizo watu wamekuwa wana maneno maneno sana na kufuatilia ya watu badala ya kufanya mambo yao lakini ili mradi mambo yake yanakwenda safi hajali lolote anatazama maisha yake zaidi. -Mamu africa

BOKO HARAM Lavamia chuo cha kilimo na kuua WANACHUO 50 wakiwa wamelala

Image
Mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hakukuwa na ulinzi katika chuo cha Kilimo ambako wanafunzi 50 waliuawa kwa kupigwa risasi wakiwa wamelala. Taarifa hiyo imetolewa siku moja baada ya tukio hilo lililotekelezwa na wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wenye itikadi kali ya Kiislam wa kundi la Boko Haram katika chuo hicho katika jimbo la Yobe Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Ofisa mmoja wa serikali amesema, serikali na jeshi la wataimarisha ulinzi kwenye maeneo ya shule na kuongeza kuwa licha ya shambulio hilo masomo yataendelea kama kawaida.

UPDATE"mbunge Godbless Lema afutiliwa kesi ya UCHOCHEZI iliyokuwa inamkabili "

Image
Kesi iliyokua inamkabili Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema dhidi ya Mkuu wa Mkoa kwa kusababisha fujo Chuo cha Uhasibu Arusha imefutiliwa mbali na Mahakama kuu muda huu. TUTAKUJUZA HABARI ZAIDI BAADAE .  

Mama ajifungua CHURA...Yadaiwa kuwa mbegu za uzazi wa chura alizipata akioga katika bwawa lenye vyura

Image
Mama mmoja nchini Kenya amejifungua mtoto wa ajabu ambaye anafanana na viumbe wawili wa dunia hii... Sehemu ya juu ya mtoto huyo inafana na chura huku sehemu ya chini ikifanana na binadamu wa kawaida.... Mtoto huyo ambaye alizaliwa wikiendi iliyopita anaonekana kutokuwa na shingo huku macho yake yakiwa kama ya chura. Ripoti ya kitaalamu toka hospitali ya Gaurishnkar ambako mtoto huyo alizaliwa imeeleza kuwa mama huyo aliingiliwa na mbegu za uzazi wa chura wakati akioga katika bwawa la maji.. "Tulifanya mazungungumzo na huyu mama na akatueleza kuwa alikuwa na mazoea ya kuoga katika bwawa.Tunaamini kwamba mbegu za chura zitakuwa zilimwingia wakati akiwa katika siku hatari"..Alisema dakatari mmoja

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUMTUPA MTOTO WAKE CHOONI.... NI UKATILI WA AJABU KWA KICHANGA

Image
  Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni. Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto waliokuwa wakicheza kugundua kuwepo kwa Mtoto katika choo cha shimo. Mtuhumiwa baada ya kukamatwa amekiri kutenda kosa hilo na kwamba alifanya hivyo baada ya mzazi mwenzie kumkataa. Ameongeza kuwa amelazimika kutupa katika choo cha jirani kwa sababu ni cha shimo tofauti na chao ambacho asingeweza kutupa mtoto huyo. Rukia Haruna (31) akitolewa nje na Askari wa Jeshi la Polisi akitolewa nje ya Mahakama kwenda Gerezani kutumikia kifungo cha miaka 5 Jela Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, Zabibu Mpangula, amemtaja Mtuhumiwa kuwa ni Rukia Haruna (31) mkazi wa Manga A Jijini Mbeya na kwamba kosa lake ni kinyume cha kifungu 218 kifungu kidogo cha 35 sura ya 16 ya mwaka 2002.

Natafuta Mume wa NDOA....Nipo tayari kumpenda kwa dhati na SITAMSALITI.

Image
phars. Mimi ni binti mjasiliamali ambaye nimechoka kuishi peke yangu na sasa nahitaji mwanaume wa ndoa anayejiheshimu na anayejua kupenda.Umri wangu ni miaka 25, elimu yangu ni form six. Asilimia kubwa ya wanaume ni wasumbufu na wana wanawake wengi,kitu ambacho kwa upande wangu sikitaki maana najijua nina wivu.... Kwa yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema ambaye atanipenda kwa dhati na hatanisaliti basi anijibu kupitia email yangu. Kwa upande wangu namhakikishia kuwa ntampenda kwa dhati, Sitamsaliti, ntamheshimu na ntawapenda ndugu na jamaa zake wote kwa moyo wangu wote. Mawasiliano: Email yangu ni nancybast4@yahoo.com   FURSA KWENU VIJANA MNAITAFUTA MCHUMBA

PICHA YETU YA LEO,"JE OFISI YAKO INA MUUNDO HUU"

Image
    FOR MORE INFORMATION LIKE OUR FACEBOOK PAGE