Mama ajifungua CHURA...Yadaiwa kuwa mbegu za uzazi wa chura alizipata akioga katika bwawa lenye vyura



Mama mmoja nchini Kenya amejifungua mtoto wa ajabu ambaye anafanana na viumbe wawili wa dunia hii...

Sehemu ya juu ya mtoto huyo inafana na chura huku sehemu ya chini ikifanana na binadamu wa kawaida....

Mtoto huyo ambaye alizaliwa wikiendi iliyopita anaonekana kutokuwa na shingo huku macho yake yakiwa kama ya chura.

Ripoti ya kitaalamu toka hospitali ya Gaurishnkar ambako mtoto huyo alizaliwa imeeleza kuwa mama huyo aliingiliwa na mbegu za uzazi wa chura wakati akioga katika bwawa la maji..

"Tulifanya mazungungumzo na huyu mama na akatueleza kuwa alikuwa na mazoea ya kuoga katika bwawa.Tunaamini kwamba mbegu za chura zitakuwa zilimwingia wakati akiwa katika siku hatari"..Alisema dakatari mmoja

Comments

Popular posts from this blog