Posts

JOTI AJA NA "SANDUKU LA BABU"

Image
MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ akiandaa promo ya "Sanduku la Babu" MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ akiwa kama Amijee MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ akiwa kama Bi Kiboga. MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ ametengeneza filamu inayokwenda kwa jina la Sanduku la Babu. Msanii huyo anajivunia aina ya mfumo aliotumia katika kuandaa sinema hiyo kwa kuirekodi na kushiriki katika nafasi zote pekee yake na kuifanya kuwa filamu sawa na iliyoshirikisha wasanii wengi.  Filamu hiyo ambayo inaonekana ni ya maajabu ni kutokana na Teknolojia iliyotumika kwa nafasi zote kuchezwa na mhusika mmoja, ambapo Joti amecheza katika sinema ya Sanduku la Babu kucheza nafasi ya Babu wa Sumbawanga, Bi. Kiboga, Amijee, na kuwashirikisha kidogo wasanii chipukizi.  “Nilikuwa nikifikiria sana kuhusu kuingia katika tasnia ya filamu kwani nilitaka kujua baada ya kutengeneza kazi yangu nitaipeleka wapi? Lakini baada ya kukutana na...

ANGALIA PICHA FISI WAKUTWA NA SHANGA NA ROZALI KIUNONI.

Image
MSAKO wa Fisi waliovamia makazi ya Vitongoji vitatu vya Kijiji cha Hungumalwa Kata ya Hungumarwa wilayani Kwimba mkoani Mwanza, umezua maajabu. Maajabu hayo yamehusishwa na imani za kishirikina, baada ya fisi wawili kati ya 12 waliouawa, kukutwa wamevalishwa shanga na Rozali, kiunoni.  Msako huo wasiku tatu ulioanza juzi(Jumapili) unahusisha mamia ya wananchi wa Kijiji hicho na vitongoji vyake vya Mwanzabalemi, Mwanega na Mwang’ombe, wanaotumia siraha za jadi na mbwa wapatao 50. Habari za ndani kutoka Kijijini humo zimesema kwamba, kabla ya wananchi hao kuingia ‘vitani’ kusaka wanyama hao ambao baadhi wanadaiwa kumilikiwa na watu wachache wanaojihusisha na vitendo vya ushirikina, wazee wa Kijiji na Vitongoji hivyo, walifanya mazindiko (kinga) ya kujikinga na nguvu za washirikina ambazo zinge kwamisha zoezi hilo. Kwa mujibu wa baadhi ya wazee wa kijiji hicho ambao hawakutaka majina yao yaandikwe, walisema kuwa makamanda wa jadi wanaoongoza msa...

ANGALIA PICHA MAELFU WALIVYOMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Image
Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la marehemu Adam Philip Kuambiana, muda mfupi baada ya shughuli za maziko kukamilika. Jacob Steven 'JB', akiweka shada kwenye kaburi.   Msanii wa fialmu Bongo, Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana. Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitiri. Jeneza lenye mwili wa marehemu Kuambiana likishushwa kaburini. Jeneza likishushwa kaburini. Msanii wa filamu, Richie Richie akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Kuambiana. Baadhi ya mafundi wakichanganya zege kujengea kaburi. Mafundi hao wakikamilisha shughuli za kujengea kaburi hilo. Mchungaji akiweka msalaba kwenye kaburi. Mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi (Chadema), akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe. Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo akitoa salamu za mwisho kwenye mwili wa marehemu Adamu Kuambiana. Baadhi ya waombolezaji waki...

KWANINI WATU HUPOTEZA HAMU YA KUJAMIIANA?

Image
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana. Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na tatizo hili? 1. Wanawake ambao wana historiaya kupungua hamu ya kujamiana 2.  Wale ambao wamefanyiwa upasuaji wa kuondoa mayai yao ya uzazi kutokana na sababu mbalimbali 3. Wanawake waliofika umri wa kuacha kupata hedhi (miaka 42-58)) na kupata dalili mbalimbali kama kutokwa na jasho usiku, kukosa usingizi mzuri na msongo wa mawazo. Kwa wanaume, visababishi vya tatizo la kupungua hamu au uwezo wa kujamiana ni kama ifuatavyo;   1. Msongo wa mawazo kama nilivyoeleza hapo juu. Kupungua au kukosekana upendo/mapenzi katika uhusiano/ndoa. 2. ...

MWANAFUNZI WA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI AVUJISHA PICHA 5 ZA EX-GIRLFRIENDS WHATSAPP

Image
  Ilikuwa asubui Ya kuamkia Leo NiLipo washa sim yangu na kukutana na hiziz picha kwenye group moja hivi whatsapp Jamaa alio zituma  inadaiwa kuwa alikuwa na mausiano na Huyu mwanadada aliepiga picha za utupu 

NIMEAMUA KUPAKI GARI YANGU NIPANDE DALADALA ILI NIONEKANE KWA WAVULANA NIOLEWE

Image
I always assumed MONEY IS THE ANSWER TO ALL PROBLEMS!!!! Yaani its something i believed totally n completely! I believe it to the extent i feel like im starting to  turn it to faith!!!!!!!! Bt today i was like WHAAAAAAAAAT!!!!!!! You gotta be kidding me!!!!!!!!! Leo katika kupitisha Ze Weekend nikakutana na mashosti long time no seee! Ushosti nao ni full time job hapa mjini! Kama huna roho lazima unawe! Tukaona tukaonje kuku za KFC ndani ya bongo! Chezeya! Bongo kama ulaya! Kweli kuku ni tamu sema calories nazo si mchezo! Sasa katika kurecoup nani uko wapi na nini ndo kupeana update inakuwaje no pete vidoleni?????? WHY???? Basi bwana kuna Engine ya Jiji moja (She ain't called engine ya jiji,for nothing! she is way too loaded! Loaded like really loaded!) akawa ana yuko kwenye panic! She is 25, no ring and so desperate!!!!!!!! Karudi toka Obamaaaa Land na Masters yake mkononi, chuo cha ukwee manake alishinda Full Bright Scholarship ya US Embassy! She is way ...

AIBU TUPU......PICHA NNE ZIKIMUONESHA PROFESA AKIMLA URODA MWANAFUNZI WAKE OFISINI KWAKE

Image
 

MBINU TANO(5) ZA KUISHI NA WAFANYAKAZI WENZAKO AMBAO NI WAKOROFI

Image
Huyu mtu siku zote ni mkorofi na mwenye kukusababishia hasira. Hata ukiongea naye kwa utaratibu lazima alete maudhi, anakusababishia kazi uione mbaya kila unapomwona. Unahitaji mbinu za kuishi naye.   1. Utambue ya kuwa sio wewe peke yako Unaweza kusema kwamba huyu mtu ana visa na wewe tu, mara nyingi watu wa namna hii ni kwa jinsi tu ya tabia zao na namna walivyokuzwa. Jitahidi kwa kadri uwezavyo kutotilia maanani wanachokiongea ili usiingie kwenye ugomvi bila sababu. Wengine huwa hawajui kwamba wanakera wenzao kwa namna ambavyo wanafanya au kuongea, wao hupenda namna wanavyojisikia kila wanachofanya au kusema ndio furaha yao. 2. Jiepushe nao Punguza au ujiepushe kukutana nao mara kwa mara ili kupunguza kero. Hata kama watafika ofisini kwako, onyesha uko kikazi zaidi kuliko utani na mambo yasiyo ya msingi. Kama kuna jambo wanauliza waombe kukutumia barua pepe au kuacha ujumbe kwenye dawati lako la kazi. Unapopunguza kukutana nao mara kwa mara unaboresha...

ANGALIA PICHA UKATILI MTOTO ALIYELIPULIWA NA MAMA YAKE

Image
Mtoto Samwel Paulo akiwa hospital baada ya kufanyiwa kitendo cha kinyama na mama yake mzazi. Dunia haina huruma! Mtoto Samwel Paulo (13), anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Amani wilayani Ilala, Dar, amelazwa wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akiendelea kuuguza majeraha yaliyotokana na kile kinachodaiwa ni kulipuliwa kwa moto na mama yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Doricus Iganga.  Tukio hilo la kusikitisha lilitokea nyumbani kwao maeneo ya Mombasa Gongo la Mboto, Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, saa 8:00 usiku ambapo mwandishi wa habari hii alimtembelea wodini hapo. Alipoulizwa kisa na mkasa hadi kuwa katika hali mbaya kiasi hicho, mtoto huyo alikuwa na haya ya kusema: “Najisikia vibaya sana kutokana na maumivu makali ya moto. Sikutegemea kama mama yangu mzazi angenifanyia hivi kwa kunituhumu kuwa nimemuibia fedha zake shilingi elfu kumi. “Amekatisha ndoto yangu ya masomo, kwa sasa wenzangu wanajiandaa na mtihani wa mu...

HATARI SANA: DIVA WA CLOUDS FM AWAPA MAKAVU LIVE WANAOCHONGA KUHUSU ISHU YAKE NA WEMA SEPETU...

Image
Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo: Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you have Problem with that ?! come on now ....  i love her and yes she is my girl and ndio mie kibaraka wake.. mitusi na kumtusi my baby unapoteza muda coz yes i love my baby hata kama unahisi sio type yangu but humjui .. ushaenda bank kuangalia salio lake? uyo mbunge si umfuate wewe kama unamtaka? my life my rulz nachagua nani niwe nae nani simtaki.. uyo unamuona hanifai mwenzio ndio sili silali sababu yake.... yaan dats my future husband... afu wema ndio my girl sasa na nitamtetea daily nikiona mnamkosea....afu ka hujui ushajijua wewe ulienitukana kurasa na kuingilia hadi familia yangu uso na adabu unaetafuta followers kinguvu... i am team @wemasepetu for life and speaking of my baby well .....   nitakua nae ndio wangu tena Mpaka kifo kitakapotutengan...

REKODI NA SIFA ZA KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

Image